Ustadhi Paul Pogba atua Macca kwa ajili ya ibada tukufu ya Hijja!!

Ustadhi Paul Pogba atua Macca kwa ajili ya ibada tukufu ya Hijja!!

Hahahaha hizi imani hazina tofauti na kuamini ushirikina, kuna Ostadh mmoja nilikuwa namsikia anahubiri ndani ya msikiti kuwa ni dhambi kubwa sana anayecheza na kushabikia mpira, pia na style aliyonyoa Pogba mchezaji hewa wa Man U
mchezaji hewa?!?![emoji23][emoji23] acha kuchekesha watu
 
wenzenu dini zilikotokea washastuka,makafiri mtabaki wenyewe na mazabahu yenu ya kuamshia dudee j2
Na hili ndio lengo la mleta mada,kwamba mcheza soka ghali zaidi duniani yuko macca kuhij.

Kwani kuna mfuga majini yeyote tumemualika huku???hifadhini vyakula kwa ajili ya kula usiku ndicho mnaweza hakuna zaidi.
 
Kumbe kuji selfisha mbele ya AL KAABA inaruhusiwa? Nilijua ni haramu
 
Kila La Kheri, Alhaji Paulo. Wamsachi Vzr Uckute Ana Ki Agano Jipya Kwenye Bukta.
 
wenzenu dini zilikotokea washastuka,makafiri mtabaki wenyewe na mazabahu yenu ya kuamshia dudee j2
Huyo si mzamiaji tu toka west Africa walikojazana magaidi wenzako
 
Mbona kuna maaskari humo ndani?
...wanachunga wale jamaa wasijefanya yao humo, si unajua tena hawachagui mahala pa kulipua wale, si makanisa si misikitini, kwenye mikusanyiko yoyote ile mingine wao wakipata upenyo tu wanaharibu...
 
Kwani kwenda kutalii huko ni hadi uwe wa dini ya huko? Si Trump alikuwa huko juzi?
Trump hakuwa maca na wala hata fika huko maca ni kwa waislam tu hata motoway yake imeandikwa for muslim only..kwahiyo jua hilo trump labda alikuwa jiddah au riadh
 
Eneo lenge wakiristo wengi ni kusini mwa jangwa la sahara....na ndio eneo lenye utajiri mwing na ndio eneo lenye umasikini wa kutupa,na ndio eneo lenye wapumbavu wengi ulimenguni.....
 
Kumbe kuji selfisha mbele ya AL KAABA inaruhusiwa? Nilijua ni haramu
Kama una level za kina Pogba..Maana ni moja ya kuitangaza Dini..kama huna jina utachezea virungu haha
 
Back
Top Bottom