Ustadhi Paul Pogba atua Macca kwa ajili ya ibada tukufu ya Hijja!!

View attachment 515597 View attachment 515598
Siku chache baada ya kuisaidia Man United kubeba ubingwa wa Kombe la Europa, Paul Pogba ametua Maka nchini Saudi Arabia kwa ajili ya Hija.

Pogba ambaye ni mwislamu, ameamua kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani zote licha ya kwamba atakuwa na mechi za kimataifa.
Sio Hijja, ni umrah.
Hijja hufanyika mwezi dhulhija ambao ndio mwezi wa 12 katika kalenda ya kiislamu(hijr calendar).
Huo mwezi wa Hijja waweza kuwa kati ya agost 23-sept20 mwaka huu.
1727dbe1abda0e3d86e5fbaa9e6ba6dc.jpg
 
Pogba.jpg

Mchezaji soka aliye ghali zaidi duniani amefanya ziara ya kihujaji kwenda katika mji mkatatifu zaidi wa Kiislamu, Mecca, wakati wa mwanzo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa Paul Pogba alipakia mtandaoni picha yake akiwa Mecca siku ya Jumapili na kuandika "kitu cha kupendeza zaidi nilichowahi kukitazama maishani mwangu."

Aidha, aliandika ujumbe kwenye Twitter kutakia kila mtu "Ramadhani jema."

Pogba, 24, aliibuka mchezaji ghali zaidi katika historia majira ya joto mwaka jana, Manchester United walipowalipa Juventus ada ya £89m ($114m).

Jumatano, alifunga bao na kusaidia Manchester United kulaza Ajax 2-0 na kushinda kombe la ligi ndogo ya klabu Ulaya, Europa League mjini Stockholm, Sweden na pia kuwezesha klabu hiyo kufuzu kwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya msimu ujao.

Baada ya kumalizika kwa msimu wa soka, Pogba alipakia mtandaoni video fupi yake na mkoba na kusema alikuwa "safarini" kwenda kufanya maombi yake.

Pogba anafanya Umrah, ambayo ni safari ya kihujaji ambayo si ya lazima katika dini ya Kiislamu.

Pogba amewahi kuzuru Mecca angalau mara moja awali, ambapo alifanya Haji, safari ya kihujaji ambayo kila Mwislamu aliyekomaa na mwenye afya anafaa kuifanya angalau mara moja maishani.

Mecca unaaminika kuwa mji alikozaliwa Nabii Muhammad, na watu wasio Waislamu hawaruhusiwi kuingia.

Kwa hisani ya BBC Swahili
 
Mchezaji mashuhuri wa Manchester united, Paul Labile Pogba ameenda Makka kufanya Hijja ya Umra. Hayo ameyafanya baada ya siku chache kuiwezesha tiimu yake kuchukua ubingwa wa Europa.

_96253975_0575a7a0-ef9c-44b6-8176-19404f0eb73e.jpg

Namtakia hijja njema, Ameen
 
DA3EtK7XsAEdAgm.jpg

Back
Top Bottom