Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Sisemi kwamba tuache kuwaangalia na hawa wa majumbani ( i.e. Kuziba Ukuta ni vema ili Kesho Tusijenge Ukuta...) Lakini atleast hawa wana wazazi / walezi wanaowalea ingawa tunasema eti wasiwachape hivyo kuwatisha!!!
Lakini Haimaanishi kwamba kama Ukuta Umeshaanguka ndio tusiujenge na Hawa watoto wa Kitaa pia ni Taifa la Kesho, Hivyo nguvu nyingi zingewekezwa na Huku...; Na kama Mtoto mwenye Mlezi / Mzazi wake akiharibika itakuwa ni Failure ya mzazi husika, lakini hawa wa Kitaa ni Failure kwa Jamii kwa Ujumla....