Kwamba watoto waliopo Kitaa root cause ni single parent na kutokumjua baba, wengine wengi tu ni sababu ya kuambia kwamba mzee wako / mama yako anakutesa hivyo kuamua kukimbia Home....; Na aliyekwambia watoto wa kitaa ni Africa pekee ni nani ?Watu waachane ngono nzembe
Wawe responsible na mimba za mademu zao
Wanawake nao wasipende bia za bure wanalewa wanapigwa mimba baba hamjui.
This is a black people problem
Sisemi kwamba tuache kuwaangalia na hawa wa majumbani ( i.e. Kuziba Ukuta ni vema ili Kesho Tusijenge Ukuta...) Lakini atleast hawa wana wazazi / walezi wanaowalea ingawa tunasema eti wasiwachape hivyo kuwatisha!!!
Lakini Haimaanishi kwamba kama Ukuta Umeshaanguka ndio tusiujenge na Hawa watoto wa Kitaa pia ni Taifa la Kesho, Hivyo nguvu nyingi zingewekezwa na Huku...; Na kama Mtoto mwenye Mlezi / Mzazi wake akiharibika itakuwa ni Failure ya mzazi husika, lakini hawa wa Kitaa ni Failure kwa Jamii kwa Ujumla....
Nilisha andika Uzi wa kukemea watoto wa mitaani, beside sizalishi hovyoZao la kataa ndoa hilo, kina Intelligent businessman na nduguze
Je inamaanisha ukifanya ngono lazima upate mtoto ? Labda ungeniambia watu wa imani ambao wanaamini kila kiumbe kinafaa kuendelezwa na wanapinga matumizi ya contraception..., Hakuna sehemu ambapo marriages / ndoa ni taasisi ya maana kama India lakini ni nchi ambayo inaongoza kwa Watoto wa Mitaani.. Swali ni kwanini ?Kataa ndoa ndio zao lako hilo, wanakataa ndoa ila utelezi wanautaka, yaani ni sitaki nataka
Unazalisha kwa staha..Nilisha andika Uzi wa kukemea watoto wa mitaani, beside sizalishi hovyo
Mtoto ni matokeo ya kufanya ngono mkuu, au unafikiri mtoto anapatikana je? watoto wengi wa mtaani utasikia hawamjui baba ila mama wanamjua, sasa kwanini baba asiwepo hapo ujue baba alikacha mama majukumu yakamshinda akashindwa kulea mwenyewe hao watoto, Hakuna baba atakubali mwanae ageuke kuwa omba omba atapambana kwa jasho na damu.Je inamaanisha ukifanya ngono lazima upate mtoto ? Labda ungeniambia watu wa imani ambao wanaamini kila kiumbe kinafaa kuendelezwa na wanapinga matumizi ya contraception..., Hakuna sehemu ambapo marriages / ndoa ni taasisi ya maana kama India lakini ni nchi ambayo inaongoza kwa Watoto wa Mitaani.. Swali ni kwanini ?
Gap in Classes kubwa yaani have's and have nots..., bila kuwa na facilities za kuweza kuwapa ahueni hawa watu pamoja na kutokuwa na infrastructure nzuri zilizojengwa kwa ajili ya watu...
Kuna watoto wengi kitaa wana wazazi ni kwamba wamekimbia kwao wengine wanaona kwamba wanazinguliwa na wazazi (wa hivyo pia wapo);Mtoto ni matokeo ya kufanya ngono mkuu, au unafikiri mtoto anapatikana je? watoto wengi wa mtaani utasikia hawamjui baba ila mama wanamjua, sasa kwanini baba asiwepo hapo ujue baba alikacha mama majukumu yakamshinda akashindwa kulea mwenyewe hao watoto, Hakuna baba atakubali mwanae ageuke kuwa omba omba atapambana kwa jasho na damu.
Kwahio unapingana na sentensi yako ya hapo juu ? Au sababu kila mtu anaweza kufa basi asizae / asiwe na mtoto ? Na wanaoachiwa si ndio kina sisi kama tunalipa Kodi na inakusanywa nyingi na kuna wizara ya kazi hio kwanini isiangalie hawa watoto waliaochwa na wazazi wao kupotea ?B yake, watoto unakuta wamepoteza wazazi na walioachiwa wameshindwa kutimiza majuku yao juu ya hao watoto