Usumbufu wa wakala wa Bima

Usumbufu wa wakala wa Bima

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,595
Reaction score
3,670
Mwaka 1 na miezi kama 8 iliyopita kuna jamaa yangu aliibiwa pikipiki yake ila kwa bahati nzuri alikua amekatia ile bima kubwa, hivyo akafanya process zote kuanzia polisi mpak bima kwenyewe.

Bima wakafanya uchunguzi wakamaliza na ikaonekana anastahili kulipwa, wakamuagiza alete risit orijino na vitu vingine kwa ajili ya kuprocess malipo akawapelekea vyote.

Ila cha ajabu hivi sasa inakaribia mwezi wa 3 kila akiulizia wanamzungusha tu

Je anaweza kupata msaada gani kisheria hapo?
 
Mimi nilipata ajali july mwaka 2011 na gari imekatiwa bima kubwa na uchunguzi wa polisi na bima umekamilika nimepeleka documents zote.Hadi leo nazungushwa. Najiandaa kuchukua hatua ya kisheria.
Mwaka 1 na miezi km 8 iliyopita kuna jamaa yangu aliibiwa pikipiki yake ila kwa bahati nzuri alikua amekatia ile bima kubwa,hivyo akafanya process zote kuanzia polisi mpk bima kwenyewe, bima wakafanya uchunguzi wakamaliza na ikaonekana anastahili kulipwa, wakamuagiza alete risit orijino na vitu vingine kwa ajili ya kuprocess malipo akawapelekea vyote
Ila cha ajabu hv sasa inakaribia mwezi wa 3 kila akiulizia wanamzungusha tu
Je anaweza kupata msaada gani kisheria hapo?
 
Fafanua unazungushwa vp mkuu ili uweze saidiwa
 
Back
Top Bottom