Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,595
- 3,670
Mwaka 1 na miezi kama 8 iliyopita kuna jamaa yangu aliibiwa pikipiki yake ila kwa bahati nzuri alikua amekatia ile bima kubwa, hivyo akafanya process zote kuanzia polisi mpak bima kwenyewe.
Bima wakafanya uchunguzi wakamaliza na ikaonekana anastahili kulipwa, wakamuagiza alete risit orijino na vitu vingine kwa ajili ya kuprocess malipo akawapelekea vyote.
Ila cha ajabu hivi sasa inakaribia mwezi wa 3 kila akiulizia wanamzungusha tu
Je anaweza kupata msaada gani kisheria hapo?