Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
Kwa jeuri, wanayanga kwa sasa wanatamba mtaani na mitandaoni wakisema wao hawaongee na mbwa bali wanaongea na mwenye mbwa. WAJINGA TU HAWAJuhudi zozote za Simba kutaka kuipiku Yanga huenda zikawa ni mbio za sakafuni kwa sababu tu ya uswahiba uliopo baina Yanga na CCM.
Kuna namna mbele ya macho ya watawala wa kiCCM inaonekana ni fedheha kubwa pale ambapo Yanga inapozidiwa kimpira na Simba.
Kiburi chote cha Yanga kususia derby ya 15/6/2025 kilikuwa kimejificha kwenye kichaka cha kijani (CCM), viongozi wa Yanga kwa kujiamini kabisa walitoa tamko wakisema hakuna cha kanuni, bodi ya ligi au TFF wenye uwezo wa kuinyang'anya Yanga hata nusu point kwa kususia derby, na yoyote atakayejaribu hilo atakutana na kitu kizito. Na kweli baada ya muda mchache kupita TFF na bodi ya ligi wote wakasalimu amri, wakatema bungo!
Kwa jeuri, wanayanga kwa sasa wanatamba mtaani na mitandaoni wakisema wao hawaongee na mbwa bali wanaongea na mwenye mbwa.
Wanasimba huenda tukaendelea kupigika mpaka CCM siku moja itoke madarakani.
Yanga na simba zinatakiwa zife , mapenzi yetu sasa yaelekezwe kwa kwa timu kama Azam, majimaji ,mtibwa , jkt .Jitu zima na akili zake linafanya huu upuuziView attachment 3368663
CCM na yanga vipo toka 1977 na hakuna takwimu zinazodhibitisha yanga inapendelewa na CCM au CCM kuifaidisha yanga kwa namna yoyote Ile na CCM inafahamu ni hatari kufanya hivyo na ni jambo lisilowezekana, ndani ya CCM Kuna Simba na yanga.,,,acheni ushabiki mandaziJuhudi zozote za Simba kutaka kuipiku Yanga huenda zikawa ni mbio za sakafuni kwa sababu tu ya uswahiba uliopo baina Yanga na CCM.
Kuna namna mbele ya macho ya watawala wa kiCCM inaonekana ni fedheha kubwa pale ambapo Yanga inapozidiwa kimpira na Simba.
Kiburi chote cha Yanga kususia derby ya 15/6/2025 kilikuwa kimejificha kwenye kichaka cha kijani (CCM), viongozi wa Yanga kwa kujiamini kabisa walitoa tamko wakisema hakuna cha kanuni, bodi ya ligi au TFF wenye uwezo wa kuinyang'anya Yanga hata nusu point kwa kususia derby, na yoyote atakayejaribu hilo atakutana na kitu kizito. Na kweli baada ya muda mchache kupita TFF na bodi ya ligi wote wakasalimu amri, wakatema bungo!
Kwa jeuri, wanayanga kwa sasa wanatamba mtaani na mitandaoni wakisema wao hawaongee na mbwa bali wanaongea na mwenye mbwa.
Wanasimba huenda tukaendelea kupigika mpaka CCM siku moja itoke madarakani.
Jitu zima na akili zake linafanya huu upuuziView attachment 3368663
We kweli jamaa ni mwehu tarehe nane kwanini mechi haikuchezwa?Juhudi zozote za Simba kutaka kuipiku Yanga huenda zikawa ni mbio za sakafuni kwa sababu tu ya uswahiba uliopo baina Yanga na CCM.
Kuna namna mbele ya macho ya watawala wa kiCCM inaonekana ni fedheha kubwa pale ambapo Yanga inapozidiwa kimpira na Simba.
Kiburi chote cha Yanga kususia derby ya 15/6/2025 kilikuwa kimejificha kwenye kichaka cha kijani (CCM), viongozi wa Yanga kwa kujiamini kabisa walitoa tamko wakisema hakuna cha kanuni, bodi ya ligi au TFF wenye uwezo wa kuinyang'anya Yanga hata nusu point kwa kususia derby, na yoyote atakayejaribu hilo atakutana na kitu kizito. Na kweli baada ya muda mchache kupita TFF na bodi ya ligi wote wakasalimu amri, wakatema bungo!
Kwa jeuri, wanayanga kwa sasa wanatamba mtaani na mitandaoni wakisema wao hawaongee na mbwa bali wanaongea na mwenye mbwa.
Wanasimba huenda tukaendelea kupigika mpaka CCM siku moja itoke madarakani.
Halafu wanautumia kwa wivu mkubwaUjinga sasa wanatumia vyama kwenye mipira
Dah aiseeHalafu wanautumia kwa wivu mkubwa
tff waliposhindwa kuingilia tarehe 8 wamedhihirisha wao ni wahuni sio wa kuwaachia peke yao waamue!Yanga na simba zinatakiwa zife , mapenzi yetu sasa yaelekezwe kwa kwa timu kama Azam, majimaji ,mtibwa , jkt .
Yani timu zipo na Mgogoro wao kwa mjibu wa kanuni kwa mjibu washeria zinanazo ongoza mpira Afrika kama sio Dunia ,kwanini wanasiasa wanaingilia , zife asema Bwana
Mh Majaliwa na Mwanasimba na ni kiongozi mwandamizi serikaliniJuhudi zozote za Simba kutaka kuipiku Yanga huenda zikawa ni mbio za sakafuni kwa sababu tu ya uswahiba uliopo baina Yanga na CCM.