Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 969
- 844
😁 hii ni ya zamani mno mkali. Enzi za wazazi wakoNikinywa maji nakuona kwenye jug
Una Dhani pesa na Sura yako ya mbuzi vitoto vya afumbili vitakuelewa?Siku hizi hamna kutumia nguvu kubwa kwenye sound,mchawi pesa
kaka kinachoangaliwa ni pochi neneUna Dhani pesa na Sura yako ya mbuzi vitoto vya afumbili vitakuelewa?
Ooooy! Niaje wakuu,
Kwanza kabisa Nina furaha kubwa Sana kwa siku ya Leo kuonekana tena Jukwaani hapa Mara baada ya kipindi kirefu mno tangu Enzi zile za Kina Gentamycine, Nyani Ngabu na Genge lake na Wengine wengi.
Embu Leo waswahili tushirikiane katika kuandika zile Sounds/mistari/ maneno matamu ya kumnasa mrembo yeyote mbele ya macho yako au hata Nyuma ya Keyboard (Keyboard warriors)
Naanza " Unajua mrembo natamani ningekua mlango wa Peponi nikufungulie Furaha Milele"
Dondosheni Vina wakali.