Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #21
unataka kusema yule aliekuwa anatukana watu jana kuwa masikin yupo sahihihuyo ni mjinga kaonyesha Tanzania pesa ipo hata wajinga wanaipata ni kujishughulisha tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unataka kusema yule aliekuwa anatukana watu jana kuwa masikin yupo sahihihuyo ni mjinga kaonyesha Tanzania pesa ipo hata wajinga wanaipata ni kujishughulisha tu.
hana busara huyo. iphone yake inawahusu nini wengine.unataka kusema yule aliekuwa anatukana watu jana kuwa masikin yupo sahihi
acha tu mzeehana busara huyo. iphone yake inawahusu nini wengine.
wapo matajiri maarufu wanamiiliki pesa ndefu
wanatumia Tecno.
Tecno oyee😅🤣💪
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alikuwa anatafuta mtu atamtoe rinda
Uswazii km mambeleeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila JF kikiletwa kitu, kila mtu anaponda. Utasema wote wanatenda kimalaika!!!
Anyway maisha ya uswahilini na uswahili wao, ndivyo walivyokuwa wakakuta. Mimi napenda kuona wanavyoendesha maisha yao. Wanaenjoy wenyewe hawana aibu wala kumuogopa mtu. Waendelee...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣duh jana nilikuwa maeneo ya mwananyamala sasa kuna sehemu kukawa kuna sherehe si ndo nasikia mc kapokonywa maik jamaa anatangazo
jamaa anatangaza nimenunua iPhone 13pro macho matatu million moja na lakii na.... sijakopa wala sidaiwi hiii hapa nazani mnaiona wote yule jamaa katoa maneno mengi ya mafumbo nikawa nashangaa kuna humuhimu gani wa kufanya vile? yaan mtu anunue cm atangaze
kwangu nimeona kama vituko tu
Mbona ulianzisha hadi uziiiMie nina iphone 16s na HATA SITANGAZI