uswahilini kuna vituko

uswahilini kuna vituko

Ila JF kikiletwa kitu, kila mtu anaponda. Utasema wote wanatenda kimalaika!!!
Anyway maisha ya uswahilini na uswahili wao, ndivyo walivyokuwa wakakuta. Mimi napenda kuona wanavyoendesha maisha yao. Wanaenjoy wenyewe hawana aibu wala kumuogopa mtu. Waendelee...
 
Uswazii km mambeleeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
duh jana nilikuwa maeneo ya mwananyamala sasa kuna sehemu kukawa kuna sherehe si ndo nasikia mc kapokonywa maik jamaa anatangazo
jamaa anatangaza nimenunua iPhone 13pro macho matatu million moja na lakii na.... sijakopa wala sidaiwi hiii hapa nazani mnaiona wote yule jamaa katoa maneno mengi ya mafumbo nikawa nashangaa kuna humuhimu gani wa kufanya vile? yaan mtu anunue cm atangaze

kwangu nimeona kama vituko tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom