johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
So?Uzuri wa Kiongozi mwenye miaka 80+ anakuwa anapigania future ya Vilembwe
CCM mnaona mbali sana Kwa sababu Vilembwe ndio vinatishiwa na Artificial intelligence
Mlale unono π
Siyo awatishe bali awape uhalisia wa maishaWamemuweka Wassira ili awatishe Gen-z
so - so πΌ
So saad.so - so πΌ
Ulale unono pia π΄Uzuri wa Kiongozi mwenye miaka 80+ anakuwa anapigania future ya Vilembwe
CCM mnaona mbali sana Kwa sababu Vilembwe ndio vinatishiwa na Artificial intelligence
Mlale unono π
Wahenga wamenena "isiyo kongwe haivushi"!Uzuri wa Kiongozi mwenye miaka 80+ anakuwa anapigania future ya Vilembwe
CCM mnaona mbali sana Kwa sababu Vilembwe ndio vinatishiwa na Artificial intelligence
Mlale unono π
Hongereni kwa KIKONGWE WASIRAUzuri wa Kiongozi mwenye miaka 80+ anakuwa anapigania future ya Vilembwe
CCM mnaona mbali sana Kwa sababu Vilembwe ndio vinatishiwa na Artificial intelligence
Mlale unono π
Nancy Pelosi spika mkongwe wa bunge la Congress alionekana anafaa na kustahili hadi akiwa na miaka 86.....Hongereni kwa KIKONGWE WASIRA
Alikuwa na akili timamu sio huyu mbwabwajajiNancy Pelosi spika mkongwe wa bunge la Congress alionekana anafaa na kustahili hadi akiwa na miaka 86.....
#Isiyo Kongwe Haivushi!
Wa kule ulimtibu na kuthibitisha utimamu wake kinyume na tiba yako kwa huyu wa huku ?!!!Alikuwa na akili timamu sio huyu mbwabwajaji