The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Ongea kwa sauti ya chini ili ukhuty asije kukusikia,utaniletea matatizo bure!Aisee kumbe unabeba box, nilihisi hicho kitu. Ukija likizo unichukue
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongea kwa sauti ya chini ili ukhuty asije kukusikia,utaniletea matatizo bure!Aisee kumbe unabeba box, nilihisi hicho kitu. Ukija likizo unichukue
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dada comment zakz huwa ni amaizing, za kishua anajua za uswazi anajua natamani nikuone siku mojaSamaki wa kukaanga jioni wanakua watamu sana, fungu 200, huwa wanaliwa na ugali uliobaki mchana kama budget ya mkaa imekwenda kombo.
Ukijifanya wa kisure hujichanganyi, mume wako atatoka na Zuwena wa nyumba ya tatu na mtaa mzima utajua kasoro wewe.
Kuna watu uswazi wanakula mlo mmoja tu inaitwa pasi ndefu na selfie yani kila mtu kashika samaki wake mkono wa kushoto kama anajipiga picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenyewe wanaona rahaUswahilini watu wanaishi maisha mabovu sana yasiyo na mwisho mzur wala staha, kuchukuliana wake, waume, kusengenyana na kulogana hayo ndiyo maisha ya uswazi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nimeielewa sanaKuna watu uswazi wanakula mlo mmoja tu inaitwa pasi ndefu na selfie yani kila mtu kashika samaki wake mkono wa kushoto kama anajipiga picha
Sent using Jamii Forums mobile app
GMboto na Mbagala ni sehemu zenye watu wengi Tz nzima na zinazidi mikoa au wilaya nyingi.Halafu sijui kwanini watu huwa wanachukulia Gongolamboto na Mbagala ni Uswazi sana kwa Dar Kuliko Buguruni, Tandale, Manzese na Mwananyamala.
Siku hizi fungu ni bukuSamaki wa kukaanga jioni wanakua watamu sana, fungu 200, huwa wanaliwa na ugali uliobaki mchana kama budget ya mkaa imekwenda kombo.
Unaongea kweli na sio ya kujisifia. Umasikini si sifa nzuriYale ni maisha wanayoishi kwakua hawana namna jaman wakipata not hamuwaoni uswazi.Yale sio maisha ya kujisifia.
Trust me,pale uwanja wa fisi manzese,hatokaa atokee rais wa nchi hii pale kama mtoto anazaliwa pale na kukulia pale mpaka utu uzima.
Mazingira yana influence sana afya ya akili ya mtoto.
Maisha ya uswaz ni ya kijinga sanaa.
Napafahm na nimeish sana huko nikiwa single but nilipoamua kuzaa na kulea wanangu niliamua kuhamaaaa
Hakuna mtu anapenda maisha ya kijinga na ya kujishushia heshima kwa Mungu na Wanadamu....Maisha ya uswahili, hao wa ushuani wanayapenda sana ujuwe... ILE SINEMA YA KIGODOLO YA ZAMAREADI MKETEMA ILIUZA SANA... maana imeonyesha maisha halisi ya uswahili.. na wanunuaji wengi ni wa huko ushuani...
Kwenye ngono wako pa sana maana wqnakupa kila waonacho sawaUswahilini napenda mademu tu walivyo very simple. Hakuna kuzungushana wiki. Na wako vizuri kwenye 6×6 aisee!
Na ukikipiga fresh, kinaenda kuhadithia wenzake! Unaweza jikuta umepita na rafiki zake hata 3.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio sifa njema kabisaa mkuu.