Uswahilini na starehe za kulazimisha

Uswahilini na starehe za kulazimisha

Halafu sijui kwanini watu huwa wanachukulia Gongolamboto na Mbagala ni Uswazi sana kwa Dar Kuliko Buguruni, Tandale, Manzese na Mwananyamala.
GMboto na Mbagala ni sehemu zenye watu wengi Tz nzima na zinazidi mikoa au wilaya nyingi.

Tandale, Manzese ni Uswahilini kabisaaa

Mwananyamala mjini ila waswahili wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yale ni maisha wanayoishi kwakua hawana namna jaman wakipata not hamuwaoni uswazi.Yale sio maisha ya kujisifia.
Trust me,pale uwanja wa fisi manzese,hatokaa atokee rais wa nchi hii pale kama mtoto anazaliwa pale na kukulia pale mpaka utu uzima.

Mazingira yana influence sana afya ya akili ya mtoto.
Maisha ya uswaz ni ya kijinga sanaa.
Napafahm na nimeish sana huko nikiwa single but nilipoamua kuzaa na kulea wanangu niliamua kuhamaaaa
Unaongea kweli na sio ya kujisifia. Umasikini si sifa nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ya uswahili, hao wa ushuani wanayapenda sana ujuwe... ILE SINEMA YA KIGODOLO YA ZAMAREADI MKETEMA ILIUZA SANA... maana imeonyesha maisha halisi ya uswahili.. na wanunuaji wengi ni wa huko ushuani...
Hakuna mtu anapenda maisha ya kijinga na ya kujishushia heshima kwa Mungu na Wanadamu....



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongea kweli na sio ya kujisifia. Umasikini si sifa nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio sifa njema kabisaa mkuu.
Nimekaa sana tandika sokon kule kama unashusha maeneo yanairwa mashine ya maji..nimekaa jiran sana na danguro moja maarufu sana la wahaya na nimeyasoma sana yale maisha .Watoto na wake za watu wanavyoathirika na maisha yale.Nyumba za kupanga kule hazina privacy kama alivyoeleza mleta mada.kikichonifanya nidumu kule ni kwasababu nilikua mwanachuo so asbh natoka narud usiku nafikia kulala.weekend busy ba usafi numapil nashinda church nikitoka basibkwa washkaji.usalama ni mdogo sana uswahilin..ushirikina umeshika hatamu maeneo hayo..majungu na kutukanana plus vidogoro mizki ya udhamilishaji ndio mahala pale..Jamii ya uswahil kwa kifupi haina furaha ya kwel.Ni basi tu tunaamua kuyakubali maisha kwakua no way.
 
Back
Top Bottom