Kameendelea kwa kuchukua pesa ya watu na mafisadi yanayofichaga pesa huko uakafa bila kusemaWanajiingiza vitani ... watajuta kesho .. vita vitaisha na nchi zilizoona ujinga zitajitoa uswese... biashara ya benki inatanuka
Setting aside the tradition of neutrality, President Ignazio Cassis announced that Switzerland would freeze the assets of Russian President Vladimir Putin and 370 politicians and businessmen sanctioned by the EU.zilizowekwa na Warusi si zilizowekwa na Urusi elewa mada
Wenzako hawaogopiWanajiingiza vitani ... watajuta kesho .. vita vitaisha na nchi zilizoona ujinga zitajitoa uswese... biashara ya benki inatanuka
Muda huo the 5 Eyes wako wapi?Dunia ijiandae kukabiriana na ugaidi wa kutisha kwa sababu russia atawapa silaha kubwa magaidi, hatakubari abanwe hewa halafu akae kimya ,,,,,,,9/11 is coming again
Asiporudisha mali za Urusi nje ya nchi zitakamatwa, mwisho wa siku hizo ndege Urusi hataweza pata sparesMzozo wa Urusi na Ukraine: Sheria tata ya Putin ya kutorudisha zaidi ya ndege 500 za kibiashara kwa nchi za Magharibi
17 Machi 2022
Urusi inalipiza dhidi ya vikwazo vilivyowekwa na nchi za Magharibi.
Rais Vladimir Putin alitia saini sheria Jumanne kuzuia makampuni ya kigeni yaliyokodisha ndege zao kutoka Urusi kuzichukua tena.
Uamuzi huo umekuja baada ya makampuni kadhaa kuitaka Moscow kurudisha ndege walizokodi, ikiwa ni sehemu ya vikwazo vilivyowekwa na nchi za Magharibi baada ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.
Na ni kwamba karibu 75% ya ndege zinazotumiwa na mashirika ya ndege ya Kirusi hukodishwa, kulingana na data rasmi, kwa jumla ya ndege 515 zenye thamani ya zaidi ya dola za Marekani milioni 10,000. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwisho wa Vita Urusi ataumia sana na atakubali concession za Ukraine ikiwemo kutoingia Cremia....And the sanctions lifting will be linked to the stepping down of Putin as the Russian president and the Russian government's pledge to pay the war reparations to Ukraine.
It will surely be a tall order for the east European country.
Hakuna Mzalendo mbele ya Pesa jiwe kaacha makontena ya dola kwa family yake.Putin anajifanya mzalendo kumbe kaficha pesa nchi za watu!?
Utakuwa umeandika tu ukapoat bila kujiridhisha na ulichoandika.Wanajiingiza vitani ... watajuta kesho .. vita vitaisha na nchi zilizoona ujinga zitajitoa uswese... biashara ya benki inatanuka
Unatafuta hela unakwenda kuficha Kwa jirani? Acha upigwe.STRUGGLE MAN sijui atachangiaje hapa kwasabab ana residence ya uswis na pia ni pro kremlin.
Ila hii hatia za magharib kuzuia mali na asset za watu siyo vizuri. Watu wamepambana kutafuta hela na mali kwa nguvu, bidii na akili halafu ghafla tu unawapora.
Hapo Putin atakuwa amepata target nyingineJumuiya ya Wanabenki wa Uswizi imetangaza kuwa raia wa Urusi wameweka kati ya Dola bilioni 160 - 213 nchini humo. Fedha hizo ni sawa na Tsh. Trilioni 372 – 495.
Mbali na #Uswizi kusifiwa kwa utunzaji wa taarifa za wateja Rais wa Nchi hiyo, Ignazio Cassis amesema watazuia fedha hizo za Rais Vladimir Putin, wanasiasa na wafanyabiashara.
Urusi imewekewa vikwazo na Jumuiya ya Ulaya (EU) kutokana na mashambulio ambayo #Urusi ameendelea kuyatekeleza dhidi ya #Ukraine
===
Swiss banks disclose how much Russian money they hold
The Swiss Bankers Association revealed there’s around $160-$213bn of Russian clients’ money held in Swiss accounts.
Swiss banks are usually prized for their anonymity and safety, the rare estimation of holdings by Russian clients being made amid sanctions slapped on Moscow.
Setting aside the tradition of neutrality, President Ignazio Cassis announced that Switzerland would freeze the assets of Russian President Vladimir Putin and 370 politicians and businessmen sanctioned by the EU.
Subscribe to RT t.me/rtnews
Douh!!!!Hakuna Mzalendo mbele ya Pesa jiwe kaacha makontena ya dola kwa family yake.
Unajua kusoma?Putin anajifanya mzalendo kumbe kaficha pesa nchi za watu!?
Leo sitaki kukujibu vibaya na huo ustaaz wako, rudi kasome aya ya pili ya mleta hoja afu urudi na hii hoja yako.Unajua kusoma?
Hata kuvamia nchi za watu sio vizuri. Wanaua raia wasiokuwa na hatia.STRUGGLE MAN sijui atachangiaje hapa kwasabab ana residence ya uswis na pia ni pro kremlin.
Ila hii hatia za magharib kuzuia mali na asset za watu siyo vizuri. Watu wamepambana kutafuta hela na mali kwa nguvu, bidii na akili halafu ghafla tu unawapora.
Hapo kwenye dola milioni 10,000/= sijaelewa. Ila ukiisoma habari yote inasema hayo mashirika yamepewa deadline ya kuchukua ndege zao, ikipita wanazizuia.Mzozo wa Urusi na Ukraine: Sheria tata ya Putin ya kutorudisha zaidi ya ndege 500 za kibiashara kwa nchi za Magharibi
17 Machi 2022
Urusi inalipiza dhidi ya vikwazo vilivyowekwa na nchi za Magharibi.
Rais Vladimir Putin alitia saini sheria Jumanne kuzuia makampuni ya kigeni yaliyokodisha ndege zao kutoka Urusi kuzichukua tena.
Uamuzi huo umekuja baada ya makampuni kadhaa kuitaka Moscow kurudisha ndege walizokodi, ikiwa ni sehemu ya vikwazo vilivyowekwa na nchi za Magharibi baada ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.
Na ni kwamba karibu 75% ya ndege zinazotumiwa na mashirika ya ndege ya Kirusi hukodishwa, kulingana na data rasmi, kwa jumla ya ndege 515 zenye thamani ya zaidi ya dola za Marekani milioni 10,000. 🤣🤣🤣