Utabibu;Namba na nyota zinasema Leo man utd anashinda ,wazee wa kubet piteni hapa

Mkuu naomba nifundishe hiyo formula aisee.wewe ni noumaaa
 
Hiyo haiwez kua kweli kwa mechi zote BT inaweza kwa baadhi tuu so muwe makini kwanza ni ngumu kutabiri droo kupitia system hii kingine Kushinda ni Bahati koz elimu hii ni ya MUNGU pekee ya kujua tukio lijalo BT naamin kuna kuna kitu MUNGU kaweka kwenye hesabu ambacho ukifumbua utajua mengi kazungumzia shufwa na witiri humo kuna maneno mazito
 

Ila kuwa makini kijana, angalia Kanji asije akakuteka tu
 
Mkuu hebu tuwekee orodha ya nyota na siku zinazotawaliwa na nyota hizo na maana yake ili wazee wa mkeka tumparue vizuri mhindi, halafu weka na formula ya draw!
 
Duuuuu walahi kidogo niweke laki ila nikaweka ten kwa uwoga

Ningeweka laki mana ake ningekula km million 3 ivi
Ningejiteka kwa siku mbili ivi nikale upape wa bahari mitaa ya ubalozini

Sio uku uswazi tunakutana na vinyesi tu
Kvp mkuu.mlaki game ya man u ule milioni...hmmm,hii chai...kwa odds zp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…