Tetesi: Utabiri 1977: Waalimu wa UPE wanaenda kutengeneza Taifa la wajinga na sasa miaka 50 imepita. Je sisi tuna akili au sisi ni wajinga?

Ndugu, unaweza kuthibitisha hiki???? Usifuate mkumbo, kama hujui kitu jaribu kuuliza,kudadisi na kujifunza!!!!!!!!!!!!!!
I was there. Mimi nilimaliza darasa la saba 1976 so I know what I am talking about. Balaa ni kwamba hii siyo sera pekee ya Nyerere iliyofeli. Operation vijiji 1973-76. Kuua vyana vta ushirika 1980, vita ya Kagera 1978/79. Don't tell me that crap.
 
wakati ule mwanafunI anakwenda sekondari kwa kuchaguliwa na sio ufaulu peke yake. Wapo waliokuwa na uwezo mkubwa lakini hawakuchaguliwa hivyo so haki kuwaita walimu wa upe ni failure wa darasa la Saba.
ukitaka kujua kama product ya wanafunzi ilikuwaje jitathimini wewe mwenyewe kwa umri uliotaja nahisi na wewe ni kundi Hilo.
elimu yetu iliharibiwa makusudi pale ulipoanza mpango wa kuchangia elimu bila kuandaa wananchi matokeo yake wazazi waliona Bora watoto wauze maandazi kuliko kulipia ada shuleni na ndicho kizazi Cha hovyo kuwahi kutokea.
lakini umekwepa kutaka walimu wa vodafasta wa awamu ya nne.
 
Wasomi walitabiri kuwa Tanzania ya wajinga inakuja je nikweli imekuja au haijakuja?
 
I was there. Mimi nilimaliza darasa la saba 1976 so I know what I am talking about. Balaa ni kwamba hii siyo sera pekee ya Nyerere iliyofeli. Operation vijiji 1973-76. Kuua vyana vta ushirika 1980, vita ya Kagera 1978/79. Don't tell me that crap.
Je hili Taifa kina watu wenye akili Sasa hivi?
 
Hapana nataka kujua je sisi tuna akili au tumefeli. Ujue kabla ya hapo walimu walipaswa kuwa na degree ndio kufundisha wanafunzi. Hata mwalimu alikuwa na masters wakati wanafundishana Pugu
 
I was there. Mimi nilimaliza darasa la saba 1976 so I know what I am talking about.
Ndugu, unaonekana mtu mzima kidogo na umeona mengi, unakubaliana kuwa walimu wa UPE hawakupata mafunzo yoyote kuhusu fani ya ualimu?????

Yaani unakutwa kijiweni, nyumbani,mtaani,barabarani n.k halafu unaambiwa ukafundishe!!!!!!!! Je, ni kweli??????

Samahani kama nitakuwa nimekukera na kukukwaza.
 
Tatizo la waalimu wa upe ni Moja. Waalimu wa secondary Walikuwa na Masters na primary angalau degree ya ualimu. Wakati wa uhuru walimu wengi Walikuwa na diploma yaani form four na chuo Mika mitatu. Lakini wakati wa upe walimu walichukuliwa darasa la saba kwenda kufundisha shule ya msingi. Kumbuka masomo mengi ya sekondari yanakazia sana elimu ya msingi.
 
Tatizo la waalimu wa upe ni Moja. Waalimu wa secondary Walikuwa na Masters na primary angalau degree ya ualimu
Ndugu, jaribu kujifunza na kujielimisha ili siku nyingine ufiche ujinga wako. Kuficha ujinga ni hekima pia!!!!!!

Masters
na degree za 1970s na 1980s zilikuwa sekondari na msingi??????????

Halafu nani kakudanganya kuwa ukiwa na shahada ya kwanza (Degree) au ya pili (Masters) ndiyo unakuwa mwalimu mzuri wa sekondari kwa ngazi ya O-level?????
 
Hivi mwalimu ambae hajui logarithm anaweza kumfundisha mwanafunzi ajue vizuri kabisa.
Kinachoendelea katika sekta ya elimu anayekijua mi mwalimu aliyeko field na sio mtu mwingine, tatizo ni pale nyie ambao sio walim mnajivika ujuv wa mambo ya elimu ya nchi, ndio maana mnawalaumu na kuwaponda walimu huku mkiwa hata hamuelew ni kivipi walimu wamekosea
 
Mleta mada Ameuliza kama hiyo ndoto imetimia? Mi naona imetimia kwa yanayoendelea. Hii ni mada pana sana
Hiii mada ningewapa tips za kutosha sema wengi humu ni zao la UPE mtaanza kunishambulia tu bora nikae Kimya!
Na ndio maana nikasema watu wanawalaumu walimu kwakuwa uelewa wao ni mdogo

Ubovu wa elimu yetu unaouona sasa wa mwanafunzi kuhitimu kidato cha nne huku hawezi kuanfika hata sentensi sio tatizo la walimu, ni tatizo la mfumo, je, lilianzia wapi? Hiyo ndio ilikuwa hoja ya mleta mada
 
Bado hoja haijaeleweka kwako, je, unaamini mwanafunzi kuhitimu kidato cha nne akiwa hajui kuandika ni tatizo la mwalimu?
 
Kweli mkuu,umeshirikisha kabisa ubongo wako kwenye hili?,std 7 aliyefeli mtihani kwenda F1,unampeleka pale Tandala TTC, course ya 90days then unampangia akafundishe hisabati pale Mpitimbi S/M!mkuu unaweza kufikiri zaidi ya hapa,elewa ilitakiwa mwenye Adv.Dipoloma au First Degree ndio wafundishe hizi primary schools ili msingi uwe imara kielimu
 
Je sisi ni wajinga ama tuna akili mbona hamjibu swali langu
Wewe ni mjinga

Nasema hivyo kwa sababu wewe unaitwa ndege ilihali mtu aliyelimika anajua moja kati ya siya ya ndege ni kujongea kwa mabawa na wewe mabawa huna, hivyo kujiita ndege wakati wewe sio ndege ni justification ya ujinga wako
 
We ni mjinga sanaaa tena ndo wale mnaosain mkataba mbovu iv insha inasaidia nin kwenye jamii angalia hapo ulipokaa vitu vinavyokuzunguka, hiyo simu unatumia alaf mwisho jiambie bila kujua insha hivi vitu nisingeweza kuvitengeneza na kuviunda achen upambavu mnashadadia kujua kirai kitenzi sijui vivumishi vya nini iv mna viongozi waliosoma masomo ambayo hayana maendeleo kiteknolojia alaf mnasema kuna siku tutaendelea wala haiji kutokea kama hatutabadilika RIP Magufuli
 
Walifundisha,unadhani waliofeli mitihani ya la Saba 1970s-90s walikua hawawezi masomo!?..palikua na msemo 'kafaulu lakini hakuchaguliwa'..na Mara nyingi waliofaulu siyo wale waliokua na uwezo,palijaa ukiritimba,lakini hao walimu wa upe wanafunzi wao walikua imara kimasomo,hakuna aliyetoka darasa la pili kwenda la tatu na hajui kusoma,kuandika,kuhesabu,kujumlisha na kutoa,unasema wenye advance diploma/degrees wakafundishe primary...unadharau Sana level za elimu,hao wanatakiwa kufundisha a level na certificates vyuoni
 
Ndugu, wewe mwenyewe ni wa zao lipi???? Au mazao yanaangalia walimu????????Wahandisi, madaktari,waandishi wa habari, wanasheria, wahasibu, manesi, mafundi, wanasiasa n.k wao hawamo???????
Kimtirirko na mimi pia ni wazao Iloilo ila Mimi nimefudnishwa na walimu ambao wamefundishwa na walimu waliosoma elimu ya upe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…