Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ndio hivyo, 2023 Itakua ngumu sana kwa wanazi wa CCM! Kuna ambao watakubali kubadilika Ili waendelee kula, Kuna kundi litaibuka kimya kimya likijiandaa kuweka mizizi, Kuna Viongozi wa CCM watapandishwa Kwa Pilato.
Utakua mwaka wenye machungu sana kwa CCM na mara nyingi watajitokeza hadharani kukanusha jambo, Kwa bahati mbaya kukanusha huko kutazua taharuki zaidi kuliko kutuliza!
Zitaibuka scandals kadhaa zitakazowagusa Moja kwa Moja baadhi ya Mawaziri na familia zao.
Nawaona baadhi ya watendaji Kama DCs hasa enzi za Magufuli wakishtakiwa Kwa makosa waliyohatenda wakiwa Madarakani enzi za Magufuli.
Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi Itakua mwiba sana kwa CCM.
Happy New year 2023