Utabiri, 2023 utakuwa mwaka mgumu sana kwa CCM

maharage ya ukweni ya kweli haya mkuu? Maana wewe ndio mbashiri bora, mtabiri bora na mpiga ramli bora JF nzima, uliizungumzia ndege ajali na kweli ikawa je hili la bwana Elli litakua na ukweli au tusubiri utabiri mwingine?
 
Fungua ofisi ya utabiri tujue moja.Hayo mengine ni ujinga tu.
 
Bwashee umewasahau chadema, nao pia utakuwa mwaka mgumu sana maanda kamanda mbowe anaachia ngazi. Kubadilisha mwenyekiti aliyeshika hiyo nafasi kwa miaka 20 siyo kazi rahisi.
 
Mtu akinywa mataputapu mara nyingi akilala anaota ndoto mbayambaya
 
Ugumu wa ccm utategemea uimara wa upinzani, binafsi sioni upinzani imara kwa sababu wananchi walishawagundua hawako pamoja nao, na upinzani ili uwe imara hawana budi kufuata sera na njia alizopita JPM kitu ambacho wao wanakijua vizuri ila wanashindwa wataanzaje kutokana na kauli zao tata juu ya JPM ambazo technolojia imezihifadhi.

Nakubaliana nawe unaweza kuwa mwaka mgumu ila siyo kwa ccm bali ni kwa mwana ccm mmoja mmoja.
 

Magufuli magufuli. Ungeaacha jina hili mwaka mpya huu. Itakusaidia uumaliz bila cancer ya ubongo.
 
Ndoto za alinacha. Utakuwa mgumu kwako CCM ni km mlima Kilimanjaro usiifananishe na we kichuguu
 
Tawile Mganga

Ramli imeshika haswaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…