RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Habari ni kwamba nguvu iliyopo na ushawishi ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA nikubwa na yakushangaza vijana wengi wanaunga mkono chama hicho pamoja na mawakili wengi tanzania ambao wengi wao niwanaharakati , wapiga kura kumbukeni siyo wazee ni vijana ambao wamemaliza vyuo hawana kazi, n.k. nimepita kila kijiwe naona kila kijana anaitaja chadema huku wazee wa ccm kwenye vijiwe vya kahawa kwa kuambiwa ccm imegeuka genge la wahuni! Mwenyekiti anaamua nani awe kiongozi tofauti kabisa na katiba ya chama , mijadala mikubwa imeibuka na kusema kuwa ccm imefikia hatua viongozi wa juu kabisa wanaamulia wananchi wa kuwaongoza! Wengine wameibuka nakusema hii nchi siyo kundi la wachache wenye vyeo ndani ya ccm na serikali.