lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 17,951
- 23,705
Nilisahau na Kocha, tulishampima na tukakuta mgonjwa ndio maana katupwa njeMlishawapima au bado? majibu yakoje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisahau na Kocha, tulishampima na tukakuta mgonjwa ndio maana katupwa njeMlishawapima au bado? majibu yakoje?
Utabiri unaoweza kwenda kutimia,japo hapo kwenye namba 3 ndio umepuyanga,hivi Argentina ya Sasa unaweza kuita ni kizazi Cha dhahabu,yenye majina,vipaji na muunganiko wa timu kuliko zilizopita na kushindwa kuchukua kombe la dunia??Mara kwa mara nimekuwa nikijizuia kuandika chochote hapa JF chenye ubashiri kwa woga wa kuonekana ni muongo au mzushi, lakini baadaye ule ubashiri wangu (niliobakia nao akilini) kwa sehemu kubwa umekuwa ukitokea!
Na kwa kuwa JF ndio umekuwa mtandao wenye kueleweka au kuaminika zaidi hapa Tanzania kwa sasa hususani kwenye mwelekeo wa kuchambua yanayoendelea sasa au kubashiri yajayo, nimeona nami niandike kile ninachokiona akilini mwangu kuhusu yajayo kwenye fainali za mashindano ya mpira wa miguu ya FIFA kwa mwaka huu 2022 kule Qatar.
Natabiri timu ya taifa ya Argentina ikitwaa kombe la dunia.
Japokuwa mimi siyo mchambuzi wa mpira, lakini kwa haraka sana kuna vitu viko wazi mno kuona mwelekeo wa kombe hilo kwenda Argentina safari hii, na hapa ni baadhi.
1. Kilele cha hitimisho la historia ya soka kwa Leon Messi kwenye mashindano ya kombe la dunia. Mashindano haya huenda yakawa ndio shauku ya juu kwa Messi kufanya maajabu yake katika kuelekea kuhitimisha ubora wake kisoka.
Huyo mwamba pamoja na kuwika mnoo duniani, hakuwahi kuiongoza Argentina kutwaa Ubingwa wa Dunia. Jambo hilo linamuumiza sana, na atataka kulimaliza ili kuweka historia ya siku zote katika soka. Aliweza kufanya maajabu yake kwenye Copa America mwaka jana, huwezi kushindwa kufanya hivyo tena kwenye hii world Cup ya 2022.
2. Argentina wanakwenda kwenye mashindano haya wakiwa ni mabingwa watetezi wa kombe la Amerika ya kusini (Copa America) ambalo walilitwaa mwaka jana.
Kiuhalisia mashindano ya Copa America yaliyopita yalikuwa na ushindani wa hali ya juu na msisimko wa aina yake (bahati mbaya vyombo vya habari havikuyapa uzito mkubwa kama yale ya Ulaya kwa sababu za kibiashara), na bingwa wake lazima alikuwa ni tishio.
3. Kilele cha mafanikio ya kizazi cha dhahabu kwa timu ya taifa ya Argentina. Kikosi cha Argentina cha sasa huenda ndiyo kikosi bora zaidi cha Argentina chenye majina, vipaji na muunganiko wa kitimu kuliko vizazi vingine kadhaa vilivyopita na kushindwa kutwaa Kombe la Dunia.
2022 Tukutane Qatar.
Utabiri unakaribia kutimiaMara kwa mara nimekuwa nikijizuia kuandika chochote hapa JF chenye ubashiri kwa woga wa kuonekana ni muongo au mzushi, lakini baadaye ule ubashiri wangu (niliobakia nao akilini) kwa sehemu kubwa umekuwa ukitokea!
Na kwa kuwa JF ndio umekuwa mtandao wenye kueleweka au kuaminika zaidi hapa Tanzania kwa sasa hususani kwenye mwelekeo wa kuchambua yanayoendelea sasa au kubashiri yajayo, nimeona nami niandike kile ninachokiona akilini mwangu kuhusu yajayo kwenye fainali za mashindano ya mpira wa miguu ya FIFA kwa mwaka huu 2022 kule Qatar.
Natabiri timu ya taifa ya Argentina ikitwaa kombe la dunia.
Japokuwa mimi siyo mchambuzi wa mpira, lakini kwa haraka sana kuna vitu viko wazi mno kuona mwelekeo wa kombe hilo kwenda Argentina safari hii, na hapa ni baadhi.
1. Kilele cha hitimisho la historia ya soka kwa Leon Messi kwenye mashindano ya kombe la dunia. Mashindano haya huenda yakawa ndio shauku ya juu kwa Messi kufanya maajabu yake katika kuelekea kuhitimisha ubora wake kisoka.
Huyo mwamba pamoja na kuwika mnoo duniani, hakuwahi kuiongoza Argentina kutwaa Ubingwa wa Dunia. Jambo hilo linamuumiza sana, na atataka kulimaliza ili kuweka historia ya siku zote katika soka. Aliweza kufanya maajabu yake kwenye Copa America mwaka jana, huwezi kushindwa kufanya hivyo tena kwenye hii world Cup ya 2022.
2. Argentina wanakwenda kwenye mashindano haya wakiwa ni mabingwa watetezi wa kombe la Amerika ya kusini (Copa America) ambalo walilitwaa mwaka jana.
Kiuhalisia mashindano ya Copa America yaliyopita yalikuwa na ushindani wa hali ya juu na msisimko wa aina yake (bahati mbaya vyombo vya habari havikuyapa uzito mkubwa kama yale ya Ulaya kwa sababu za kibiashara), na bingwa wake lazima alikuwa ni tishio.
3. Kilele cha mafanikio ya kizazi cha dhahabu kwa timu ya taifa ya Argentina. Kikosi cha Argentina cha sasa huenda ndiyo kikosi bora zaidi cha Argentina chenye majina, vipaji na muunganiko wa kitimu kuliko vizazi vingine kadhaa vilivyopita na kushindwa kutwaa Kombe la Dunia.
2022 Tukutane Qatar.
Hongera!,kuonyesha umahiri katika utabiri usio na chenga,umetumia vigezo vyenye mashiko kuipata timu inayostahili kuwa bingwa wa dunia.Mara kwa mara nimekuwa nikijizuia kuandika chochote hapa JF chenye ubashiri kwa woga wa kuonekana ni muongo au mzushi, lakini baadaye ule ubashiri wangu (niliobakia nao akilini) kwa sehemu kubwa umekuwa ukitokea!
Na kwa kuwa JF ndio umekuwa mtandao wenye kueleweka au kuaminika zaidi hapa Tanzania kwa sasa hususani kwenye mwelekeo wa kuchambua yanayoendelea sasa au kubashiri yajayo, nimeona nami niandike kile ninachokiona akilini mwangu kuhusu yajayo kwenye fainali za mashindano ya mpira wa miguu ya FIFA kwa mwaka huu 2022 kule Qatar.
Natabiri timu ya taifa ya Argentina ikitwaa kombe la dunia.
Japokuwa mimi siyo mchambuzi wa mpira, lakini kwa haraka sana kuna vitu viko wazi mno kuona mwelekeo wa kombe hilo kwenda Argentina safari hii, na hapa ni baadhi.
1. Kilele cha hitimisho la historia ya soka kwa Leon Messi kwenye mashindano ya kombe la dunia. Mashindano haya huenda yakawa ndio shauku ya juu kwa Messi kufanya maajabu yake katika kuelekea kuhitimisha ubora wake kisoka.
Huyo mwamba pamoja na kuwika mnoo duniani, hakuwahi kuiongoza Argentina kutwaa Ubingwa wa Dunia. Jambo hilo linamuumiza sana, na atataka kulimaliza ili kuweka historia ya siku zote katika soka. Aliweza kufanya maajabu yake kwenye Copa America mwaka jana, huwezi kushindwa kufanya hivyo tena kwenye hii world Cup ya 2022.
2. Argentina wanakwenda kwenye mashindano haya wakiwa ni mabingwa watetezi wa kombe la Amerika ya kusini (Copa America) ambalo walilitwaa mwaka jana.
Kiuhalisia mashindano ya Copa America yaliyopita yalikuwa na ushindani wa hali ya juu na msisimko wa aina yake (bahati mbaya vyombo vya habari havikuyapa uzito mkubwa kama yale ya Ulaya kwa sababu za kibiashara), na bingwa wake lazima alikuwa ni tishio.
3. Kilele cha mafanikio ya kizazi cha dhahabu kwa timu ya taifa ya Argentina. Kikosi cha Argentina cha sasa huenda ndiyo kikosi bora zaidi cha Argentina chenye majina, vipaji na muunganiko wa kitimu kuliko vizazi vingine kadhaa vilivyopita na kushindwa kutwaa Kombe la Dunia.
2022 Tukutane Qatar.
HongeraMara kwa mara nimekuwa nikijizuia kuandika chochote hapa JF chenye ubashiri kwa woga wa kuonekana ni muongo au mzushi, lakini baadaye ule ubashiri wangu (niliobakia nao akilini) kwa sehemu kubwa umekuwa ukitokea!
Na kwa kuwa JF ndio umekuwa mtandao wenye kueleweka au kuaminika zaidi hapa Tanzania kwa sasa hususani kwenye mwelekeo wa kuchambua yanayoendelea sasa au kubashiri yajayo, nimeona nami niandike kile ninachokiona akilini mwangu kuhusu yajayo kwenye fainali za mashindano ya mpira wa miguu ya FIFA kwa mwaka huu 2022 kule Qatar.
Natabiri timu ya taifa ya Argentina ikitwaa kombe la dunia.
Japokuwa mimi siyo mchambuzi wa mpira, lakini kwa haraka sana kuna vitu viko wazi mno kuona mwelekeo wa kombe hilo kwenda Argentina safari hii, na hapa ni baadhi.
1. Kilele cha hitimisho la historia ya soka kwa Leon Messi kwenye mashindano ya kombe la dunia. Mashindano haya huenda yakawa ndio shauku ya juu kwa Messi kufanya maajabu yake katika kuelekea kuhitimisha ubora wake kisoka.
Huyo mwamba pamoja na kuwika mnoo duniani, hakuwahi kuiongoza Argentina kutwaa Ubingwa wa Dunia. Jambo hilo linamuumiza sana, na atataka kulimaliza ili kuweka historia ya siku zote katika soka. Aliweza kufanya maajabu yake kwenye Copa America mwaka jana, huwezi kushindwa kufanya hivyo tena kwenye hii world Cup ya 2022.
2. Argentina wanakwenda kwenye mashindano haya wakiwa ni mabingwa watetezi wa kombe la Amerika ya kusini (Copa America) ambalo walilitwaa mwaka jana.
Kiuhalisia mashindano ya Copa America yaliyopita yalikuwa na ushindani wa hali ya juu na msisimko wa aina yake (bahati mbaya vyombo vya habari havikuyapa uzito mkubwa kama yale ya Ulaya kwa sababu za kibiashara), na bingwa wake lazima alikuwa ni tishio.
3. Kilele cha mafanikio ya kizazi cha dhahabu kwa timu ya taifa ya Argentina. Kikosi cha Argentina cha sasa huenda ndiyo kikosi bora zaidi cha Argentina chenye majina, vipaji na muunganiko wa kitimu kuliko vizazi vingine kadhaa vilivyopita na kushindwa kutwaa Kombe la Dunia.
2022 Tukutane Qatar.
Ndugu nilimaanisha ni kizazi cha dhahabu chenye majina, vibaji na muunganiko wa kitimu. Kama huamini hilo tazama vizuri utaligundua.Utabiri unaoweza kwenda kutimia,japo hapo kwenye namba 3 ndio umepuyanga,hivi Argentina ya Sasa unaweza kuita ni kizazi Cha dhahabu,yenye majina,vipaji na muunganiko wa timu kuliko zilizopita na kushindwa kuchukua kombe la dunia??
Hivi Argentina hii ya kina Molina,Tagliafico,De Paul,Alex Mcallisster ni kizazi Cha dhahabu? Utalinganisha na ile ya 98-2002 ya kina Carlos Roa, Nestor sensini, Roberto Ayala,Javier Zanetti,Diego Simeone,Juan veron,Mattias Almeyda, Marcello Gallardo,Abel Balbo, Gabriel Omar, Batistuta,Hernan crespo,Claudio Lopez na Ariel Ortega,?
Au ile ya 2006-2010 ya kina Walter Samuel,Nicolas Burdisso,Julio Cruz, Gabriel milito, Diego milito,Gabriel heinze,Esteban Cambiasso !!
Hauko serious wewe,sehemu zote umepatia Ila kwenye kizazi Cha dhahabu ndio umepuyanga! Ungesema kizazi Cha Messi sawa Ila sio Cha dhahabu
Yametimiaaa kabisaaaaNdugu nilimaanisha ni kizazi cha dhahabu chenye majina, vibaji na muunganiko wa kitimu. Kama huamini hilo tazama vizuri utaligundua.
Yes, Messi ana kipaji na jina kubwa, ulishawahi kujiuliza na mara ngapi ameshiriki world cup huku timu yake ikikosa muunganiko wa kitimu?
Kupata kizazi chenye sifa zote tatu muhimu ni nadra sana. Kwa mwaka huu Argentina wamepata sifa zote tatu.
Argentina ya msimu huu imekuwa na Kipa bora, Mchezaji bora na Chipukizi bora wa world cup.