Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Ningeishia hapo hapo nakufanya conclusionHebu ddavua vyema hiyo kanuni kwann uchukue herufi 3 za mwanzo? Je mmoja namba yake ingekuwa witiri ingekuwaje?
Ningeishia hapo hapo nakufanya conclusionHebu ddavua vyema hiyo kanuni kwann uchukue herufi 3 za mwanzo? Je mmoja namba yake ingekuwa witiri ingekuwaje?
Hakuna ulozi hapo ,ni NGUVU NA KUCHEZA NA NAMBA ,HATA MUNGU HUTUMIA NAMBAHuo Ndio unaitwa u kale chambua vikosi vyote kiufundi na uje na conclusion,! Mambo ya Sangoma hayana nafasi katika soka ni ujinga na kujidanganya
Sent using Jamii Forums mobile app

wewe si mshabiki wa arsenalNapata mashaka sana kama hii gemu tutashinda leo.
Nime bahatika kuangalia mechi zote za pre-season, kiukweli Arsenal tuna tatizo kubwa sana eneo la kiungo na defence.
Bila kuya- address haya maeneo timu kubwa zitachukua point tatu kwetu bila upinzani.
we need a Santi Cazorla esque player pale kwenye midfield Ramsey ni mzigo.
na defender mmoja anae eleweka sio kumjaribu Elneny kama alivyo fanya.
Per umri umeenda na yupo slow kuliko kobe.
Kwa namna chelsea walivyo jiimarisha kwenye usajili na namna walivyo organized ushindi ni asilimia 30 tu.
Ikitokea tume wafunga basi ni yale ya mpira ni dakika 90.
Mkuu nahitaji kujifunza zaidi hii kitu nije PM?Ningeishia hapo hapo nakufanya conclusion
Mfano kombe la dunia namba zina favor mataifa ya ulaya na america tu basi? Kwa nini tangu kuanzishwa kombe la dunia namba hazijawahi Ku favor Africa au Asia wakafika Hata nusu fainali au fainali sembuse kuchukua ubingwa?Hakuna ulozi hapo ,ni NGUVU NA KUCHEZA NA NAMBA ,HATA MUNGU HUTUMIA NAMBA
SHETANI PIA HUTUMIA NAMBA
Wale wale SangomaArsenal atapigwa mvua hatariiii
Huo Ndio unaitwa u kale chambua vikosi vyote kiufundi na uje na conclusion,! Mambo ya Sangoma hayana nafasi katika soka ni ujinga na kujidanganya
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda utaeleza
"Ideas are easy but Implementation is hard."