Utabiri: ARSENAL atashinda dhidi ya CHELSEA leo

Hapana nakataaa kW sababu sirlewi maana ya uluvhokiandika japo ushinfi anaweza pata kama timu lkn sio kwa mi namba hyo nazani Chelsea atashinda goli tatu leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano kombe la dunia namba zina favor mataifa ya ulaya na america tu basi? Kwa nini tangu kuanzishwa kombe la dunia namba hazijawahi Ku favor Africa au Asia wakafika Hata nusu fainali au fainali sembuse kuchukua ubingwa?
Maandalizi Ndio siri ya mafanikio sio hizo namba na sangoma zako
Uwe na jumapili njema

Korea Kusini ilifika nusu fainali ya kombe la dunia 2002.
 
Napata mashaka sana kama hii gemu tutashinda leo.
Nime bahatika kuangalia mechi zote za pre-season, kiukweli Arsenal tuna tatizo kubwa sana eneo la kiungo na defence.
Bila kuya- address haya maeneo timu kubwa zitachukua point tatu kwetu bila upinzani.
we need a Santi Cazorla esque player pale kwenye midfield Ramsey ni mzigo.
na defender mmoja anae eleweka sio kumjaribu Elneny kama alivyo fanya.
Per umri umeenda na yupo slow kuliko kobe.

Kwa namna chelsea walivyo jiimarisha kwenye usajili na namna walivyo organized ushindi ni asilimia 30 tu.
Ikitokea tume wafunga basi ni yale ya mpira ni dakika 90.

Leo Arsenal anashinda
 
Namba hazidanganyi

Leo ni tar 6/8

Ars 1+18+19=38+6= 44

Che 3+8+5=16+6=22

Hii mechi Arsenal ndio mwenye nafasi kubwa ya kushinda , namba zake ni kubwa zaid ya chelsea ,pia ni shufwa japo wote ni shufwa ,

Hivo Arsenal anaendana na tarehe ya leo tar 6

HIVO NAMPA NAFASI ARSENAL YA KUSHINDA HII MECHI, tukutane baadae hapa jukwaani
[emoji123] [emoji122] [emoji123] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prove! Tupe andiko
MUNGU MUUMBA amekuwa akitumia mara nyingi namba mbalimbali kutujulisha, au kuonya au kuelezea jambo fulani, leo tuangalie pale anapotumia NAMBA 4, 10, na 40

Maana ya namba nne kama inavyotumiwa na Mungu. Namba nne sio namba maalumu kwa freemasons au waabudu Shetani, lakini ni muhimu sana kwa Mungu.

Namba nne inamaanisha kukomaa kwa mavuno na kuvunwa.

Tazama hapa:

“Akawaambia ufalme wa Mungu, mfano wake ni kama mtu aliyemwaga mbegu juu ya nchi…..Maana nchi huzaa yenyewe, kwanza jani, tena(pili)suke, kisha(tatu),ngano pevu katika suke. Hata (nne)matunda yakiiva mara aupeleka mundu, kwa kuwa mavuno yamefika” Marko 4:26

(kwenye mabano ni ufafanuzi tu. )

Hizo ni hatua nne kufika kuvunwa kwa mbegu njema. Vipi habari ya mbegu mbaya?

TUYASIKILIZE MAANDIKO YANAVYOSEMA.....

“Lakini kila mmoja hujaribiwa(kwanza)kwatamaayake mwenyewe. Halafuile tamaa ikisha kuchukuamimba(pili), huzaa dhambi(tatu),na ile dhambi ikiisha kukomaa, huzaamauti(nne)”
Yakobo 1:14,15.

Unaweza pia kujua ni kwa nini waisraeli walitumia miaka 40 (4x10) kutoka Misri hadi Kanaani; kwa nini Yesu, Musa walifunga kwa siku 40 (4x10).

Kumbuka kwamba namba 10 kwa Mungu inawakilisha ‘ukamilifu wa Mungu’ na namba 7 inawakilisha ‘utimilifu wa Mungu’.Kuna tofauti kati ya ‘ukamilifu’ – ‘perfection’ na ‘utimilifu’ – ‘fulness’.

Kitu kinaweza kuwa ‘timilifu’ lakini kisiwe ‘kamilifu’ lakini kitu hakiwezi kuwa ‘kamilifu’ bila ya kuwa ‘timilifu’.

Kwa mfano mapigo 7 ni utimilifu wa ghabu ya Mungu lakini ukamilifu wa hukumu yake utafikiwa wakati Shetani, dhambi na wadhambi watakapoangamizwa motoni. Mungu alitoa amri 10 kwa wanadamu ikimaanisha kwamba amri hizo zinawakilisha tabia ya Mungu ambayo ni ‘kamilifu’.

Lakini pia tunasoma KATIKA BIBLIA KUHUSU LUCIFA

“….Wewe wakitia muhuri kipimo, umejaa hekima na ‘ukamilifu’ wa uzuri” kisha anaanza kutaja ni kwa namna gani alikuwa ‘mkamilifu’ wa uzuri akisema

“1)Akiki,
2)Yakuti manjano,
3)Almasi,
4)zabarajadi,
5)shohamu,
6)Yaspi,
7)yakuti samawi,
8)zumaridi,
9)baharamani na
10)dhahabu.

Lusifa alikuwa‘mkamilifu wa uzuri’ kutokana na kuvikwa aina 10 za madini ya thamani kubwa.

Mungu ni‘mkamilifu’ kutokana na kuwa na tabia inayoelezewa kwenye amri 10 katika Kutoka 20:4-17.

Ni wajibu wetu kutii sheria za Mungu.

Imeandikwa,

Mhubiri 12:13 "Hii ndiyo jumla ya maneno; yote yamekwisha sikiwa; mche Mungu nawe uzishike amri zake, maana kwa jumla ndiyo ipasayo mtu."

Je! Ni muhimu kushika sheria zote?.

Imeandikwa,

Yakobo 2:10-11 "Maana mtu ye yote atakaye ishika sheria yote ila akajikwa katika neno moja amekosa juu ya yote. Kwa maana yeye aliyesema, usizini, alisema usiue, pasi ijapokuwa hukuzini, lakini umeua, umekuwa mvunja sheria."

Je wewe ni mkamilifu wa tabia kama ya Mungu kwa kuzitunza amri 10?

Tafakari!
 
[emoji2] [emoji120]
 
Namba hazidanganyi

Leo ni tar 6/8

Ars 1+18+19=38+6= 44

Che 3+8+5=16+6=22

Hii mechi Arsenal ndio mwenye nafasi kubwa ya kushinda , namba zake ni kubwa zaid ya chelsea ,pia ni shufwa japo wote ni shufwa ,

Hivo Arsenal anaendana na tarehe ya leo tar 6

HIVO NAMPA NAFASI ARSENAL YA KUSHINDA HII MECHI, tukutane baadae hapa jukwaani
Umenikumbusha somo la sheikh Yahya (marehemu RIP)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom