Utabiri: Barca na Juve watadroo

Leo ni tarehe 19/4

Ba= 2+1+19=22

Ju=10+21+19=50

Wote wana namba shufwa , hawalingani na tarehe ,wanalingana na mwezi

Hivo hii mechi naipa droo

NB:ni mtizamo wangu tu
Sawa tunasubiri.tuone
 
Barca leo tuna wakati mgumu kidogo..lets wait, time will tell
 
Aisee amenipiga mtonyo hata bado hakuja kucha, nimebeti ile perfect 12 ya m-bet, kuna vitimu vimemaliza mda Si punde na kimoja wapo sasa nilichobashiri kitashinda imekuwa kinyume chake.
Usijali.ngoja tuongee na wataalam hapa.watutafutie hata 4 odds zenye uhakika.ukiweka hata 10,ooo kwa mwezi una hela ndefu
 
Leo ni tarehe 19/4

Ba= 2+1+19=22

Ju=10+21+19=50

Wote wana namba shufwa , hawalingani na tarehe ,wanalingana na mwezi

Hivo hii mechi naipa droo

NB:ni mtizamo wangu tu
Assume kama mechi ingechezwa tarehe kumi na nane matokeo yangekuaje kutokana na hizi namba?
 
Itakuwa safi sana, alafu sasa ameweka mil.18 na 818k kwa mechi ya kesho kutwa Kama sikosei! Perfect 12, dah!
Ila perfect 12.si ya kitoto.kwenye hizi hesabu ni ngumu kutabiri droo.mkuu hapo ametabiri amepata droo.ngoja tumsubiri.
 
Acheni kabisa na utabiri wa staili hii kuna code zake na hadi muda wa kusuka mkeka na bado MTU unakufa kabisa si chini ata ya game mbili au tatu.. Fanya kwa kubahatisha na uzijue timu vizuri kandanda haina ujanja na hasa kile kitendo cha kua na matokeo 3 ila kama unajiweza at least Fanya hesabu za probability ushindi ni lazima lakini stake sasa ndio mtihani itabidi ueke kwa kila tokeo
 
Acha kutudanganya na utabiri wako hewa wewe ,maana utakavyotabiri hapa ili sisi tukaweke mkeka kwa mkeka wako wa jana kama ulitabiri hiv kwa mhind umeliwa utabir ni dakka 90, ushind wa 120 kwenye kubet hakupo ,watu jana walioweka bayern win wamekula sana maana dakka 90 kashinda
 
Reactions: y-n
Madrid alifungwa katika time ya kawaida hivyo kama mtu alibet ashaliwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…