Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,991
Mpira na uchaw vitu viwil tofaut
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tunasubiri.tuoneLeo ni tarehe 19/4
Ba= 2+1+19=22
Ju=10+21+19=50
Wote wana namba shufwa , hawalingani na tarehe ,wanalingana na mwezi
Hivo hii mechi naipa droo
NB:ni mtizamo wangu tu
Jaman tuwekeni umoja.tumfilisi muhindi.arudi kwao bombeyA=1
B=2
C=3
D=4
E=5
F=6
G=7
H=8
I=9
J=10
K=11
L=12
M=13
N=14
O=15
P=16
Q=17
R=18
S=19
T=20
U=21
V=22
W=23
X=24
Y=25
Z=26
Aisee amenipiga mtonyo hata bado hakuja kucha, nimebeti ile perfect 12 ya m-bet, kuna vitimu vimemaliza mda Si punde na kimoja wapo sasa nilichobashiri kitashinda imekuwa kinyume chake.Jaman tuwekeni umoja.tumfilisi muhindi.arudi kwao bombey
Usijali.ngoja tuongee na wataalam hapa.watutafutie hata 4 odds zenye uhakika.ukiweka hata 10,ooo kwa mwezi una hela ndefuAisee amenipiga mtonyo hata bado hakuja kucha, nimebeti ile perfect 12 ya m-bet, kuna vitimu vimemaliza mda Si punde na kimoja wapo sasa nilichobashiri kitashinda imekuwa kinyume chake.
Itakuwa safi sana, alafu sasa ameweka mil.18 na 818k kwa mechi ya kesho kutwa Kama sikosei! Perfect 12, dah!Usijali.ngoja tuongee na wataalam hapa.watutafutie hata 4 odds zenye uhakika.ukiweka hata 10,ooo kwa mwezi una hela ndefu
Assume kama mechi ingechezwa tarehe kumi na nane matokeo yangekuaje kutokana na hizi namba?Leo ni tarehe 19/4
Ba= 2+1+19=22
Ju=10+21+19=50
Wote wana namba shufwa , hawalingani na tarehe ,wanalingana na mwezi
Hivo hii mechi naipa droo
NB:ni mtizamo wangu tu
Ila perfect 12.si ya kitoto.kwenye hizi hesabu ni ngumu kutabiri droo.mkuu hapo ametabiri amepata droo.ngoja tumsubiri.Itakuwa safi sana, alafu sasa ameweka mil.18 na 818k kwa mechi ya kesho kutwa Kama sikosei! Perfect 12, dah!
Mkuu hizi hesabu unaziweza?Assume kama mechi ingechezwa tarehe kumi na nane matokeo yangekuaje kutokana na hizi namba?
Umepiga hesabu gani?
Acha kutudanganya na utabiri wako hewa wewe ,maana utakavyotabiri hapa ili sisi tukaweke mkeka kwa mkeka wako wa jana kama ulitabiri hiv kwa mhind umeliwa utabir ni dakka 90, ushind wa 120 kwenye kubet hakupo ,watu jana walioweka bayern win wamekula sana maana dakka 90 kashindaNilitabir ya madrid na aneshinda
Leo ni tareh 18/4
Re= 18+5+18=40
Ba=2+1+18=21
Real madrid ni namba shufwa na baryen sio shufwa
Hivo real madrid ana nafas kubwa ya kushinda,
Anasapotiwa na tareh na mwezi zote ni shufwa zinalingana
MPE REAL MADRID HUTOJUTA LEO
Madrid alifungwa katika time ya kawaida hivyo kama mtu alibet ashaliwa..Nilitabir ya madrid na aneshinda
Leo ni tareh 18/4
Re= 18+5+18=40
Ba=2+1+18=21
Real madrid ni namba shufwa na baryen sio shufwa
Hivo real madrid ana nafas kubwa ya kushinda,
Anasapotiwa na tareh na mwezi zote ni shufwa zinalingana
MPE REAL MADRID HUTOJUTA LEO
Jaman tuwekeni umoja.tumfilisi muhindi.arudi kwao bombey