Utabiri: Barca na Juve watadroo

numerology inatambua namba kuwakilisha herufi kama
a=1
b=2
c=3
..... hivyo BA = 2 na 1
Mech ya jana ya monaco vs dortmund
Ukpga hzo hesabu znampa ushind
Nlpoulza nkaambiwa unaangalia na nyota ya team kwa cku hyo sasa hyo nyota unapoiangali n wap hko
 
Mech ya jana ya monaco vs dortmund
Ukpga hzo hesabu znampa ushind
Nlpoulza nkaambiwa unaangalia na nyota ya team kwa cku hyo sasa hyo nyota unapoiangali n wap hko
MBONA RAHISI....
ulikosea wewe tu
 
ila kama ungebet madrid anashinda ungepigwa kwani wanaangalia 90 minutes and not added time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…