Tumuelewe nan xax alyepga hesab jana alpata shufa zote ndo akasema draw xax ww witir af ye hakuwema mwaka we kwann umeweka
Mkuu ebu anzisha group whatsapp tusuke mikeka ya maaaaaaanaMBONA RAHISI....
ulikosea wewe tu
yeye alifupisha kwa maana mwezi au au mwaka wakati mwingine haubadilishi 'value' pili wengi hukosea kwa kutojua jina sahihi la timu. mfano 'real' madrid, 'real' sociedadTumuelewe nan xax alyepga hesab jana alpata shufa zote ndo akasema draw xax ww witir af ye hakuwema mwaka we kwann umeweka
Tuelewe lipi tuache lip
Apo nigoli kuanzia tisaNyota ya Siku Inapatikanaje??? Na ikiwa moja ni Shufaa na nyingine witiri Hapo nani anashinda??? Msaada waungwana
Nimekukubali, hii ni mech ya tatu naona umepatiaLeo ni tarehe 19/4
Ba= 2+1+19=22
Ju=10+21+19=50
Wote wana namba shufwa , hawalingani na tarehe ,wanalingana na mwezi
Hivo hii mechi naipa droo
NB:ni mtizamo wangu tu
Wewe jamaa vipi!!! Hebu tuelekezane bwana Tumkomeshe Mhindi.Apo nigoli kuanzia tisa
Kwa betting aleyempa Real Madrid kaliwa. Maana Betting inahesabu dak 90 tu.. Labda kama ulicheza AET...Nilitabir ya madrid na aneshinda
Leo ni tareh 18/4
Re= 18+5+18=40
Ba=2+1+18=21
Real madrid ni namba shufwa na baryen sio shufwa
Hivo real madrid ana nafas kubwa ya kushinda,
Anasapotiwa na tareh na mwezi zote ni shufwa zinalingana
MPE REAL MADRID HUTOJUTA LEO
Hapo kwenye Ba hiyo 2 na 1 umezitoa wapi?Leo ni tarehe 19/4
Ba= 2+1+19=22
Ju=10+21+19=50
Wote wana namba shufwa , hawalingani na tarehe ,wanalingana na mwezi
Hivo hii mechi naipa droo
NB:ni mtizamo wangu tu
Ba(B =2, a =1)Hapo kwenye Ba hiyo 2 na 1 umezitoa wapi?
Na kwenye Juvr hiyo 10 na 21 umezitoa wapi?
Mkuu kwanni usiweke wewe hela na wewe ushinde.badala ya kutaka 20,000 zetu acha hizo.ndo maana wabongo hatuendelei.sheikh yahaya angekuwa kama wwww tungeteseka sanaaDaaah, wabongo kwa tamaa, yaani woooote mmekomaa mnataka kuwa watabiri? Sasa ni hivi, hapa hafundishwi mtu. Ukitaka matokeo kwa ajili ya kubeti, unatuma PM mkeka wako na ada ya sh 20,000 tu. Ukipiga hela zako ni kivyako tu na sisi tushamalizana. Changamkia pesa hizo at your own risk.
Tunataka tumfilisi hata nauli ya kurudi kwao akose.na abaki na madeni.akimbie.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Watu wanahasira na muhindi balaa
Ongea na wakuu.hapo juu.leo vip pale UEFA , hakuna utabiri 🙄