Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #61
au kwa lugha nyingine hali hii inaitwa TIA MAJI TIA MAJI .Nimekubaliana na ww brother, umeona mbali, hali mbaya
Tukutane msimu ujaooBaada ya kutamba kwa kipindi kirefu kwenye soka la vilabu duniani hatimaye barcelona imeishiwa pumzi .
dalili za pumzi kukata zilianza kujionyesha pale walipohenyeshwa na timu mbovu na isiyo na mkakati wowote ya Arsenal kwenye ligi ya mabingwa ( hata kama walishinda ).
ukweli ulijidhihirisha katika ELCLASSICO walipopigwa nyumbani na wachezaji kumi tu wa Real Madrid na jana wameangukia tena pua kwa kibonde Real Sociedad na hivyo kuongoza ligi kwa tofauti ya point 3 tu !
Kuporomoka huku ni dalili ya kuanza safari mpya ya kuwa Timu Mdebwedo.
Kwaheri Barca , maisha ndio yalivyo .
Mtabiri umeuona uozo wako
Wenye mtizamo wa lowassa chaliiBaada ya kutamba kwa kipindi kirefu kwenye soka la vilabu duniani hatimaye barcelona imeishiwa pumzi .
dalili za pumzi kukata zilianza kujionyesha pale walipohenyeshwa na timu mbovu na isiyo na mkakati wowote ya Arsenal kwenye ligi ya mabingwa ( hata kama walishinda ).
ukweli ulijidhihirisha katika ELCLASSICO walipopigwa nyumbani na wachezaji kumi tu wa Real Madrid na jana wameangukia tena pua kwa kibonde Real Sociedad na hivyo kuongoza ligi kwa tofauti ya point 3 tu !
Kuporomoka huku ni dalili ya kuanza safari mpya ya kuwa Timu Mdebwedo.
Kwaheri Barca , maisha ndio yalivyo .
Kuna tabiri nyingi sana za mitume hazikutimia .Vipi mtabiri
Hahahaha hawakutabiri mpira lakini...mes que un clubKuna tabiri nyingi sana za mitume hazikutimia .
Siasa ina jukwaa lake kuleee .Wenye mtizamo wa lowassa chalii