Utabiri - Barcelona haitatwaa ubingwa wowote msimu huu

Ubingwa wa League sasa ni open. Vipigo viwili mfululizo sasa vimewarudisha Real Madrid kwenye game. Ila Barcelona wataambulia angalau kombe moja (Copa de rey..)
Kwaio laliga barca watakosa..?duuu pole kwa barca [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
....ungejua baada ya utabiri wako zitafuata goli 24,kwenye mechi 5, halafu bila kuruhusu hata goli moja!, ungejificha ndani miezi sita!!
 
Aliitabilia Madrid ambayo inaweza isichukue kombe lolote mwaka huu kwa mara ya pili mfululuzo. Sisi tutaondoka na makombe mawili. Tumepungukiwa kimoja tu from last season
 
Utabiri ni kama kamari , unaweza ukaliwa au Ukala , ila inahitaji ujasiri wa hali ya juu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…