UTABIRI: BENCHIKHA hatakula Krismas hapo msimbazi, atajiuzuru ghafla na kuondoka kuelekea kwao kabla ya 25 Dec 2024

25 december mbina mbali sana? huyo pasaka inamkta kwao. timu itongozwa na Mgunda kumalizia msimu. wekeni hii comment
 
Jamaa anachafua tu Cv yake Anatamani hata angetua Jangwani

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Nasikia aligoma kujiunga na jangwani sababu mambo ya kulala makaburi na kuingia uwanjani kwa kuruka ukuta +ushindi wa BAHASHA hayawezi..

Akaona heri ajiunge na MNYAMA.
 
Tulieni kocha afanye kazi yake. Kama wachezaji hawamuelewi yeye kama kocha anawajibu wa kupendekeza wachezaji wapya katika usajili na kutoa hao wazito.

Kama uongozi hautaweza ni haki yake kusepa. Duniani kote ndo kazi za makocha zilivyo.
 
Jangwani akafanye nini!??

Nyie watu mnapenda sana kuzusha na kujimwambafai.

Bnechika yupo yupo sana

Kale kauzushi kenu kuwa " Simba wanashinda Lakini hawana furaha" Sasa mmekaacha mmekuja na Benchika hana furaha.
Kwa kweli bado yupo yupo sana
 
Bravo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…