Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Nako imekata duhHesgoal naona mechi ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nako imekata duhHesgoal naona mechi ipo
yeah imekataNako imekata duh
Yap ngoja tuchek hapaDomain Seized by Law Enforcement
www.hesgoal.com
NomaNako imekata duh
Siku zote hizo hawakufanya maandalizi ya kupata hizo frequency? Halafu mbona hizi mechi zote na kufuzu naona kama zinarushwa na official broadcasting kutoka FIFA wenyewe, na sio local broadcasting. Au mimi nimeelewa tofauti?microwave link kwa maana ya frequency ni rahisi. yaani azam kujiunga na KBC. kule benin ukute bado wanahangaika na shirika la posta la huko kupata frequency
Ungo tvGame inaoneshwa channel ipi mbna mpka sasa sion?Au wanacheza usiu
kuna sehemu kuna shida. tuwe na sunira ila wamefeli sanaSiku zote hizo hawakufanya maandalizi ya kupata hizo frequency? Halafu mbona hizi mechi zote na kufuzu naona kama zinarushwa na official broadcasting kutoka FIFA wenyewe, na sio local broadcasting. Au mimi nimeelewa tofauti?
Ungo tv
Ushaangukia puaWakuu leo tena timu yetu ya taifa inashuka dimbani navyoona mie matokeo yatakuwa hivi
Benin 2 stars 0
Pilau nimezi miss SanaHiyo hesgoal Haina adabu! Katikati inaonyesha mpira ila huko pembeni Kuna pilau za kutosha..
Sasa twende ndani turudi nje hapo nitaangalia mpira kweli au pilau tu.🤣
Hadi sasa kabla mechi haijaisha tayari mkeka wako umeshachanikaWakuu leo tena timu yetu ya taifa inashuka dimbani navyoona mie matokeo yatakuwa hivi
Benin 2 stars 0
Fungua hiyo hesgoal au zile site zetu tumia VIPIENIPilau nimezi miss Sana