Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mechi za nchi za wenzao wameweza kuzirusha hii ya TZ wana mbwela mbwela tu. Wajinga kweliHawa AZAM wanaungaunga tu mpaka sasa wamewshindwa kujiunga live
watajiunga muda si mrefuYaani mechi za nchi za wenzao wameweza kuzirusha hii ya TZ wana mbwela mbwela tu. Wajinga kweli
PumbavuWakuu leo tena timu yetu ya taifa inashuka dimbani navyoona mie matokeo yatakuwa hivi
Benin 2 stars 0
Kwanzia waseme hivyo zimeshapita dakika 13 sasa. Saivi wanatuwekea vitu vya ovyo ovyo maanake wameshafeliwatajiunga muda si mrefu
Tv ya kiboya hii, TFF wawe wanabalance hata DSTV ili kuweka ushindani sio katv kamoko kama foleni ya mahindi ya msaada kwenye maduka ya ushirikaYaani mechi za nchi za wenzao wameweza kuzirusha hii ya TZ wana mbwela mbwela tu. Wajinga kweli
mechi kenya na uganda wapo nyumbani na hivyo matangazo ni rahisiTv ya kiboya hii, TFF wawe wanabalance hata DSTV ili kuweka ushindani sio katv kamoko kama foleni ya mahindi ya msaada kwenye maduka ya ushirika
Iko wapHesgoal naona mechi ipo
Assist ya nani?Safi msuva kurekebisha makosa ya last game
Sababu yako sijaielewa kabisa unachomaanishamechi kenya na uganda wapo nyumbani na hivyo matangazo ni rahisi
microwave link kwa maana ya frequency ni rahisi. yaani azam kujiunga na KBC. kule benin ukute bado wanahangaika na shirika la posta la huko kupata frequencySababu yako sijaielewa kabisa unachomaanisha