Utabiri Benin vs Taifa stars

Utabiri Benin vs Taifa stars

Yaani mechi za nchi za wenzao wameweza kuzirusha hii ya TZ wana mbwela mbwela tu. Wajinga kweli
Tv ya kiboya hii, TFF wawe wanabalance hata DSTV ili kuweka ushindani sio katv kamoko kama foleni ya mahindi ya msaada kwenye maduka ya ushirika
 
Tv ya kiboya hii, TFF wawe wanabalance hata DSTV ili kuweka ushindani sio katv kamoko kama foleni ya mahindi ya msaada kwenye maduka ya ushirika
mechi kenya na uganda wapo nyumbani na hivyo matangazo ni rahisi
 
Sababu yako sijaielewa kabisa unachomaanisha
microwave link kwa maana ya frequency ni rahisi. yaani azam kujiunga na KBC. kule benin ukute bado wanahangaika na shirika la posta la huko kupata frequency
 
Back
Top Bottom