Utabiri Benin vs Taifa stars

microwave link kwa maana ya frequency ni rahisi. yaani azam kujiunga na KBC. kule benin ukute bado wanahangaika na shirika la posta la huko kupata frequency
Siku zote hizo hawakufanya maandalizi ya kupata hizo frequency? Halafu mbona hizi mechi zote na kufuzu naona kama zinarushwa na official broadcasting kutoka FIFA wenyewe, na sio local broadcasting. Au mimi nimeelewa tofauti?
 
kuna sehemu kuna shida. tuwe na sunira ila wamefeli sana
 
Hiyo hesgoal Haina adabu! Katikati inaonyesha mpira ila huko pembeni Kuna pilau za kutosha..
Sasa twende ndani turudi nje hapo nitaangalia mpira kweli au pilau tu.🤣
 
Hii tabia ya kupaki Bus inakera,kwa nini Taifa stars wanarizika mapema hivyo?

Unapaki basi watu wanajipanga wanakushambulia,wakosawazisha utakuwa uzembe wa Hali ya Juu.
 
Kibu Denis anatumia nguvu nyingi bila akili tulikuwa tunaenda mapumziko na goli mbili
 
Hiyo hesgoal Haina adabu! Katikati inaonyesha mpira ila huko pembeni Kuna pilau za kutosha..
Sasa twende ndani turudi nje hapo nitaangalia mpira kweli au pilau tu.🤣
Pilau nimezi miss Sana
 
Safi sana Tanzania, ila punguzeni ung'ese wa kurudisha nyuma pass na kupiga cross zisizo na kichwa wala miguu, jaribu penetration passess kwa mawinga.

Kwa mara ya kwanza toka Maximo aondoke naona Tanzania inacheza mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…