Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mda wa wanasiasa sasa kutamba kwa ushindi wa Leo,hivi Bunge alijaanza?hahahaOngera Taifa star ongera Tz
Siku nyingine usirudie tena hii tabiaWakuu leo tena timu yetu ya taifa inashuka dimbani navyoona mie matokeo yatakuwa hivi
Benin 2 stars 0
wazee nipeni heshima basiacha uchawi hii mechi tunashinda
Haya sema tenaHiyo team inatia aibu sana...
HOVYO KABISA
Futa kauliTaifa star anapigwa KO mapema tu
Hatuna timu tuna wanaporojo
Nani kasemaMechi ni sare hii
Mungu anakuonaBenini 1 Taifwa Stars 0.
[emoji120][emoji2935][emoji1732]Mkuu, asante! Meza imepinduliwa, kinyama!!Nani kasema
Umeona tulivyopindua meza?
MsukuleNaombea wafungwe hata Saba, siwezi shabikia Stars, hatuna wachezaji
UnajiskiajeTaifa star anapigwa KO mapema tu
Hatuna timu tuna wanaporojo
[emoji120][emoji123][emoji2936][emoji2936]Aishi Salumu Manula[emoji120][emoji120][emoji120][emoji91][emoji91][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
😂😂
Kiukweli tulizidiwa, ila cha msingi full time tumeondoka na point 3 ndio kitu cha muhimu kwenye mashindano haya.Hizi mechi nyingine unaeza kufa kwa pressure aisee, sina hamu hapa nilipo..hehe
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
We jamaa ni mshika tunguliQatar tutaenda wajameni ila saiz watu watabisha weeee ila nmeshatabiri mm
Uliweka stake ya milionHizi mechi nyingine unaeza kufa kwa pressure aisee, sina hamu hapa nilipo..hehe
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app