Utabiri Benin vs Taifa stars

Utabiri Benin vs Taifa stars

Now zimebaki match 2 katika group stage, Congo DRC hapa Taifa na Madagascar kule Antananarivo

Inabidi tushinde match zote zilizobakia bila ya kujali mwenzako amedraw au kashinda

Ikitokea leo congo akashinda match yake, ataongoza kundi na kuwa na Point 8,wa pili Tanzania point 7,na tatu Benin point 7.

Hapo ni kila mtu ashinde match zake
 
Stars walilinda fresh sana asee.
Samatta amejitahidi leo kama kawa
 
Mpira utatuuua huu watu asee khaaa

Mwenda akikaa vizuri anafaaa yule bwa mdogo
 
Post of the day!

1633881118780.png
 
Ila hawa wa Benin leo watalala kinawauma kama siku Ile kilivyotuuma, kufungiwa nyumbani inauma mbele za wake zenu, na watoto wenu inauma Sana!!!!
 
Back
Top Bottom