Utabiri Benin vs Taifa stars

Ivi wanapita wangapi?
 
Congo amepigwa moja huko
 
Magroup yapo kumi na kila group linatoa timu moja

Tunaenda kucheza play off, game za home and away, zinabaki timu tano ndio zinaenda world cup

Tunaweza kuushangaza Ulimwengu wa Soka safari hii tukatinga Qatar,ngoja tuvuke kwanza hii group stage [emoji3]
 
We jamaa ni mshika tunguli
Kuna muda naotaga ndoto za kweli sijui ni roho mtakatifu hunishukia au la! But changamoto niliyonayo ni usahaulifu wa ndoto nikiota, hii imekuwa changamoto kubwa sana kwangu. Kipindi nasoma nilikuwa naota hadi paper la mtihani, wanafunz wenzangu walikuwa asubh wananizunguka kuniulizia nilivyoviota na cha ajabu mm nikikuwa siamini katika ndoto nilikuwa mpuuziaji mkubwa mno mpk ikitokea ndo nakumbuka mbona niliota!!!!

But ujinga wa kuanza kusahau navyoviota ulianzia iringa huko kuna jambo la ajabu lilitutokea darasani uck wakat wa kujisomea. Ni long story but nashukuru now nimeanza kujirudi upya japo naota ndoto ambazo ni mafumbo sanaaa tofaut na zamani zilikuwa zinakuja direct.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…