Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Leo mechi itaisha kwa Real Madrid 0-2 Man cityPep Guardiola na Man City yake wanaenda kutwaa ndoo ya UCL hapo juni mwaka huu.
Man City kabla ya fainal atakutana na wachovu Real Madrid, ambapo mechi ya kwanza Bernabeu itaisha droo ya 1-1
Kisha mechi ya marudiano Etihad, Man City ataibuka na ushindi wa goli 2-0. Na kujikatia tiketi ya fainali ambapo atakutana na mchovu mmoja wapo kati ya Inter Milan au Ac Milan.
Mwaka huu Guardiola anatwaa UCL kwa mara ya kwanza bila Messi.
Hajui mpira uyo Bingwa mtetezi,Real Madrid wachovu
Kujua mpira ukubwani bana
Hiyo mechi ya bayern uliangalia au ulisimuliwa?Aaah wapi.
City anatisha asikudanganye mtu.
Ile mechi yake na Bayern ndio ilikuwa mechi ngumu.
Kwa sasa madrid wameshuka sana viwango.
Kumtoa city ambao wamekamilika kila idara si kazi ndogo.
City mechi ya Bayern kapita kirahisi?Hiyo mechi ya bayern uliangalia au ulisimuliwa?
Unaizungumzia bayern ya tuchel au ya nigelsman?
Unajua wanachopitia bayern baada ya kubadilisha kocha?
City hiyo mechi alipita kirahisi sana, bayern ya tuchel ilikua nyepesi kuliko nottingam forest, city angekutana na bayern ya nigelsman ningekuelewa
Msimu uliopita na huu ni vitu viwili tofauti.Msimu uliopita alipomtoa ulikua wapi mkuu? Au umeanza kushabikia mpira msimu huu[emoji4]
Huyo mzee mmoja na wewe wote hamna akiliAlisikika mzee mmoja wa makamo akisema
"Pep guardiola ndiyo sababu Manchester city haitochukua UEFA."
Endapo Pep guardiola ataachia ngazi hata leo hii, Manchester city lazima ichukue UEFA.
Madrid wachovu umeifananisha labda na simba
Leo mechi itaisha kwa Real Madrid 0-2 Man city
Second leg
Man city 5-1 Real Madrid
Hizo akili ukiwanazo wewe na mama yako inatosha.Huyo mzee mmoja na wewe wote hamna akili
Sawa..Huna akili
Hizi tabiri zitolewe kabla hatujafika mbali huku.Pep Guardiola na Man City yake wanaenda kutwaa ndoo ya UCL hapo juni mwaka huu.
Man City kabla ya fainal atakutana na wachovu Real Madrid, ambapo mechi ya kwanza Bernabeu itaisha droo ya 1-1
Kisha mechi ya marudiano Etihad, Man City ataibuka na ushindi wa goli 2-0. Na kujikatia tiketi ya fainali ambapo atakutana na mchovu mmoja wapo kati ya Inter Milan au Ac Milan.
Mwaka huu Guardiola anatwaa UCL kwa mara ya kwanza bila Messi.
Sawa...Huna akili
Madrid anaenda kuchukua ndoo, kinyume na unachodhani na kuchukua poa.Pep Guardiola na Man City yake wanaenda kutwaa ndoo ya UCL hapo juni mwaka huu.
Man City kabla ya fainal atakutana na wachovu Real Madrid, ambapo mechi ya kwanza Bernabeu itaisha droo ya 1-1
Kisha mechi ya marudiano Etihad, Man City ataibuka na ushindi wa goli 2-0. Na kujikatia tiketi ya fainali ambapo atakutana na mchovu mmoja wapo kati ya Inter Milan au Ac Milan.
Mwaka huu Guardiola anatwaa UCL kwa mara ya kwanza bila Messi.
Bingwa Madrid!! Usikariri!Man City UEFA msimu huu ndio atakuwa bingwa, nakubali