Utabiri: Bingwa wa Uefa Champions League msimu huu atakuwa Man City

Utabiri: Bingwa wa Uefa Champions League msimu huu atakuwa Man City

City itatolewa sababu ya Dharau, Ikacheze mpira ikijua inacheza na timu Bora Europe.
Ila sababu ya kuwa Madrid ni wabovu, sasa walifikaje hapo ?

Haya tupo hapa, ngoja tusubiri hizo dakika 180.
Bado unakataa Madris sio wabovu? Sasa kwanini wapigwe 4-0
 
Back
Top Bottom