Utabiri: CAFCL up to final

Utabiri: CAFCL up to final

Kipigo cha Ihefu kimeleta madhara sana.Wachambuzi wengi wamegeuka bubu,watabiri uchwara wameingia kazini badala yao.Mpira hauchezwi midomoni.
 
Umekazana hujawahi kufeli hapo hapo unasema sio lazima iwe hivyo...
Hata sikushangai ukinambia niweke yangu na mimi nita wa Exclude Utopolo first round tuu hawapo...
 
Umekazana hujawahi kufeli hapo hapo unasema sio lazima iwe hivyo...
Hata sikushangai ukinambia niweke yangu na mimi nita wa Exclude Utopolo first round tuu hawapo...
Simba na yanga wote wanaenda robo fainali
 
Hahahaaaa sawa
Mama samia akianza kuweka zile pesa zake ataliwa sana pesa zake watu watakuwa wanapiga goli nyingi nyingi kwa mkapa hatoki mtu na saiv kumetengenezwa kama ulaya vile sasa ivi mashabiki tunatakiwa tuandae vitochi vyetu tu vile vya kijani🤣🤣
 
Back
Top Bottom