Utabiri.Fainali ya UEFA ni Manchester United vs Juventus

Manyumbu Fc haendi kokote hapo amefika mwisho arudi nyumbani kupigania nafasi ya 4
 
Tabiri kama hizi hutokea miaka mingi sana inayokuja. Generation yetu ya Tano yetu nyakati hizi za mbele itarudu na kukwarura JF na kuthibitisha utabiri huu.

Kwani naamini kizazi hikikutapita kwa hilo kutokea🤣
 
Ngoja juma nne tuone, kesho

Mwezrahi
 
Hii uefa ni ya Liverpool

WAPO WANANIELEWA MPAKA HAWAJIELEWI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…