Utabiri.Fainali ya UEFA ni Manchester United vs Juventus

Utabiri.Fainali ya UEFA ni Manchester United vs Juventus

Mwanitesa hii hii au ipi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijakuelewa kabisa mkuu Au ushashtua
Tabiri kama hizi hutokea miaka mingi sana inayokuja. Generation yetu ya Tano yetu nyakati hizi za mbele itarudu na kukwarura JF na kuthibitisha utabiri huu.

Kwani naamini kizazi hikikutapita kwa hilo kutokea[emoji1787]

God first
 
Kwa mtu anaependa mpira kama burudani basi nadhani atapenda final yake iwe kati ya juve na barca au city na barca
 
Back
Top Bottom