Utabiri.Fainali ya UEFA ni Manchester United vs Juventus

Tilly nawewe pia umekosea πŸ˜€πŸ˜€....ni Camp Nou
Uko Sahihi kiongozi,tatizo uhenga unatusumbua,Wahenga tulizoea tangu Adam na Hawa Kuuita Nou Camp ambako kwa wakati ule ilikuwa ni sahihi mpaka ilipopitishwa "juzi tu" mwaka 2001 kuwa uwanja officially utaitwa Camp Nou.Hata hivyo nakushukuru kuinyoosha taarifa yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…