Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Sio kwamba hatujawahi kushuhudia kwa miaka mingi, sema Yanga haijawahi kupata hat-trick katika derby maishani mwake, ila yenyewe iliwahi kupigwa hat trick katika ushindi wa Simba wa 6-0 dhidi ya Yanga. Pia Mayele hajawahi kupata hat-trick popote pale alipocheza maishani mwake, kwa hiyo labda hiyo ndio iwe ya kwanza kwa Mayele na Yanga. Katika ligi ya Bara, mara ya mwisho Simba kufungwa goli 3 ni pale ilipokuwa Simba 4 Yanga 3, lakini Yanga kufungwa goli 6, 5, 4, 3 imekuwa ni kawaidaNiwakumbushe kwanza ni miaka imepita sasa hatujashuhudia hat-trick kwenye mchezo huu wa jadi
Amka fala wewe bado unaota.Sio kwamba hatujawahi kushuhudia kwa miaka mingi, sema Yanga haijawahi kupata hat-trick katika derby maishani mwake, ila yenyewe iliwahi kupigwa hat trick katika ushindi wa Simba wa 6-0 dhidi ya Yanga. Pia Mayele hajawahi kupata hat-trick popote pale alipocheza maishani mwake, kwa hiyo labda hiyo ndio iwe ya kwanza kwa Mayele na Yanga. Katika ligi ya Bara, mara ya mwisho Simba kufungwa goli 3 ni pale ilipokuwa Simba 4 Yanga 3, lakini Yanga kufungwa goli 6, 5, 4, 3 imekuwa ni kawaida
matusi ya nini sasa, kuna rekodi yoyote niliyoandika hapoambayo sio ya kweli? Povu la nini ?Amka fala wewe bado unaota.
Hapa ndipo ule usemi wa Manara (msukule) kwamba Kule usukuleni mwenye akili ni Sunday Manara na mzee Kikwete tu unapojidhihirisha . Mayele huyu aliyeomba kutoka nje mwenyewe kwenye derby iliyopita baada ya kushupaliwa kwa nyuma na Onyango au kuna mayele mwingine?Habari,
Zikiwa zimebaki siku 50 Ifike tarehe ambayo tutashuhudia derby ya Kariakoo nchini kati ya Young Africans na Simba SC basi naweka mapema kabisa mambo yatakayotokea siku hiyo.
Niwakumbushe kwanza ni miaka imepita sasa hatujashuhudia hat-trick kwenye mchezo huu wa jadi ila mshambuliaji hatari Fiston Kalala Mayele ataibuka na magoli yake matatu mbele ya wapinzani wake Simba SC.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu.
[emoji23]Mm Simba Ila bora kukutana na Putin lakini sio mayele
Nakuunga mkono mkuu, Huyu jamaa ni Fundi sana aise.Habari,
Zikiwa zimebaki siku 50 Ifike tarehe ambayo tutashuhudia derby ya Kariakoo nchini kati ya Young Africans na Simba SC basi naweka mapema kabisa mambo yatakayotokea siku hiyo.
Niwakumbushe kwanza ni miaka imepita sasa hatujashuhudia hat-trick kwenye mchezo huu wa jadi ila mshambuliaji hatari Fiston Kalala Mayele ataibuka na magoli yake matatu mbele ya wapinzani wake Simba SC.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu.