THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Wakati mnacheza mfululizo Dar why hukuhoji?Hii imekaaje, kwenye mechi nne timu inacheza mechi tatu ugenini.
Wakati mnachezaWakati mnacheza mfululizo Dar why hukuhoji?
Ndio wapanga ratiba wetu haoWakati mnacheza
nimeuliza kama mwanamichezo,
Usininasibishe na timu ya simba.
Na mechi ya jana pia kumbe kacheza ugenini.
Sasa wewe ndio unipe jawabu, kwa nini timu inacheza mechi 4 kati ya tano ugenini.
Tangu nianze kusikia Tanzania kuna Bodi ya Ligi sijawahi kuambiwa kama iliwahi kuongozwa na mwingine zaidi ya Kasongo.Ndio wapanga ratiba wetu hao
Kuna mengi ya kuangalia wakati wa kupanga ratiba mkuu. Ulitamani timu ikienda kucheza kigoma irudi Dar alafu iende Tabora?Hii imekaaje, kwenye mechi nne timu inacheza mechi tatu ugenini.
Yes, hii inaweza kuwa sababu kutokana na umasikini wa miundombinu yetu na maisha kwa ujumlaKuna mengi ya kuangalia wakati wa kupanga ratiba mkuu. Ulitamani timu ikienda kucheza kigoma irudi Dar alafu iende Tabora?
Haitamanishi lakini YANGA ya MWINYI ZAHERA ilishawahi kufanyiwa hiyo.Kuna mengi ya kuangalia wakati wa kupanga ratiba mkuu. Ulitamani timu ikienda kucheza kigoma irudi Dar alafu iende Tabora?
Na bajetiYes, hii inaweza kuwa sababu kutokana na umasikini wa miundombinu yetu na maisha kwa ujumla
Tutoe maoni au na sisi tutabiri?Toa Maoni yako unaonaje wewe?
Yanga ashafanyiwa mengi sana na bahati mbaya ambacho walikuwa hawajui ni kuwa walikuwa wanawakomazaHaitamanishi lakini YANGA ya MWINYI ZAHERA ilishawahi kufanyiwa hiyo.
Azam FC hawajitambui huu ulikua wakati wao wa kujihakikishia nasafi ya pili kwanza hio mechi wao ndio wenyeji wangegomea kucheza mechi zingine mpka wacheze hio mechi ajabu wapo kimyaKinachonichekesha kwa upande wangu ni kuahirishwa tu kwa mechi kati ya Azam na Simba!!! Sijajua shida iko wapi eti kiasi cha kusababisha hiyo mechi kuahirishwa kwa nyakati mbili tofauti.
Jografia ya nchi yetu ndio inafanya mtu acheze game 3 mfululizo ugenini au nyumbani. Mfano una game na Prisons Mbeya unataka urudi Dar badala umalizane na Ihefu kabisa ?? Au una game na Kagera Sugar lazima umalizane na Mashujaha kabisa. Huwezi kwenda Kagera then urudi dar halafu uende tena KigomaHii imekaaje, kwenye mechi nne timu inacheza mechi tatu ugenini.
Tutarudi tena hapa inshaAllah, tushuhudie ukiumbuka wewe sheikh Yahya wa mchongo.Habari wanajukwaa
Nimeanglia Fixture ya Simba Katika Michezo 4 Ijayo kwenye Ligi,
Aiseeeeππ
Niseme tu kwa hii Fixture Simba Itapata Ushindi Mmoja na itasare Michezo 2 na itapoteza Mchezo Mmoja..
Sitaki kuwambia Why nimetabiri hivo ila subirien.
Na ikifanya Mzaha huenda ikapata points 4 tu.
Toa Maoni yako unaonaje wewe?
#Mnaruhusiwa Kutukana
View attachment 2851645
Azam hawana presha wanajua watashinda tu. Kuku wako manati ya kazi gani.Azam FC hawajitambui huu ulikua wakati wao wa kujihakikishia nasafi ya pili kwanza hio mechi wao ndio wenyeji wangegomea kucheza mechi zingine mpka wacheze hio mechi ajabu wapo kimya