Yani hiyo F, hiyo O pamoja na hiyo A ina mambo mengi kwanini watu wajidai kuitabiria wakati yeye muda ukifika anaweza kuulizwa na akatoa jibu sahihi? Labda wako exited sana sijui waangalie wasije kuanza hadi kumuambia atunge nyimbo na kuipa jina flani. Kwa mfano kwa hiyo F tu yapo mambo kibao Fear, Fake, Fool, Fan, Fat, Friend, Fire, na maneno mengine kibao,leo mtu anatokeza huku na kuweka utabiri wake paap! labda yuko huko HQ. All in all tusubiri muda muafaka ufike tutajua maana halisi na sababu ya kuiita hivyo