Kwani unazani wasanii wengine hawarogi mbona wanashindwa kuchukua nafasi yakeUkiroga ni lazima uathiri watu. Ukiroga ili uwe namba moja ni lazima uchawi wako umwathiri aliyekuwa namba moja kabla weee hujaroga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani unazani wasanii wengine hawarogi mbona wanashindwa kuchukua nafasi yakeUkiroga ni lazima uathiri watu. Ukiroga ili uwe namba moja ni lazima uchawi wako umwathiri aliyekuwa namba moja kabla weee hujaroga
Hapo kwenye all, nitoemoHello wakuu Mimi si greater Thinker kama wadau wengine ila katika pita pita zangu mitandao nimekutana na habari kuwa Msanii wa kibongo Diamond Platinumz alitaka kudondosha EP yake siku za nyuma kidogo (ilikuwa kama Tarehe 4march).
Lakini alitoa taarifa ya kusogeza mbele uzinduzi wa EP hiyo. Ila mtandao pameandikwa jina la ep hiyo ni FOA na kifupisho hicho bado hajatoa kirefu chake na watu wengi kuanza kuongeza maneno mengi Kuhusu kirefu hicho.
Wengine wakiweka wazi kuwa ni code zilizo fichwa yaa Freemasonr of Africa
Ila binafsi nimetabiri kirefu cha EP hiyo itakuwa Father of All lakini pia inawekewa akaongeza kionjo cha Artist ikibidi itakuwa Father of All Artists
Je, kwa nini nimewaza hivi? Hii ni Sababu Msanii huyo hupenda kujiita Baba lao na ndio maana kaamua kuja na EP yake kwa jina hilo la Baba lao (Father of All) yaani FOA.
Hii nikwamujibu wa utabiri Wangu.