Utabiri: kirefu cha EP mpya ya Diamond ni Father of All

Diamond ana roga, hatambiki
 
EP manaake nini?
 
EP manaake nini?
Extended Playlist.

Hii hutolewa kwa mbadala wa Album hivyo hua na mkusanyiko wa nyimbo chache ukilinganisha na album.
 
Reactions: Qwy
#FRIENDS OF ARSENAL
 
Yani hiyo F, hiyo O pamoja na hiyo A ina mambo mengi kwanini watu wajidai kuitabiria wakati yeye muda ukifika anaweza kuulizwa na akatoa jibu sahihi? Labda wako exited sana sijui waangalie wasije kuanza hadi kumuambia atunge nyimbo na kuipa jina flani. Kwa mfano kwa hiyo F tu yapo mambo kibao Fear, Fake, Fool, Fan, Fat, Friend, Fire, na maneno mengine kibao,leo mtu anatokeza huku na kuweka utabiri wake paap! labda yuko huko HQ. All in all tusubiri muda muafaka ufike tutajua maana halisi na sababu ya kuiita hivyo
 
Kweli ngoja tusubiri muda ndio uongee
 
I stand with only one king
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚vipi mkuu ulishaenda ile safari yako ya kulimwagia jua maji?? Nimecheka sana ulivyoanza eti mimi sio great thinker!!
Ile
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚vipi mkuu ulishaenda ile safari yako ya kulimwagia jua maji?? Nimecheka sana ulivyoanza eti mimi sio great thinker!!

Ile
🀣🀣🀣 Mkuu kwa mzozo huu wa Ukraine na Russia Safari za anga za mbali unaweza kutana na nuclear bombs juu kwa kwa.

Ngoja tusubiri mzozo huu uishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…