Utabiri kocha mpya arsenal

Hapa ni utabiri au wish list ya Arsenal's fans? Kuweni wapole tu. Arsenal hawatabariki. Wanaweza kuibuka na underground msiyemtarajia kabisa.
 
Kwa akili yake huyo anafikiri kwa ubahili aliokuwa anaufanya Wenger itakuwa ni kwa kila kocha, au labda anafikiri Arsenal ni masikini kisa tu Wenger alikuwa ananunua cheap players. [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…