Utabiri kocha mpya arsenal

Utabiri kocha mpya arsenal

Hapa ni utabiri au wish list ya Arsenal's fans? Kuweni wapole tu. Arsenal hawatabariki. Wanaweza kuibuka na underground msiyemtarajia kabisa.
 
Ndugu usilete hoja za mitaani arsenal ni timu kubwa uingereza na ulaya timu zinazo weza isumbua kungombania kocha labda Barcelona,real Madrid,psg,mancity na Chelsea tu.arsenal ipo top 10ya richest club's in the world .ktk premier league arsene ni mmoja ya makocha wanaolipwa zaidi
Kwa akili yake huyo anafikiri kwa ubahili aliokuwa anaufanya Wenger itakuwa ni kwa kila kocha, au labda anafikiri Arsenal ni masikini kisa tu Wenger alikuwa ananunua cheap players. [emoji23]
 
Back
Top Bottom