Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
UmelengaChogo Kichogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmelengaChogo Kichogo
Coach wa Belgium national teamHuyu n refee wa wapiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
huyu ndo atatufaa 100% wengine wazee wazee hatuwahitaji. Tunataka kocha wa kukaa miaka 20 mbele.Apewe dogo wa hoffenheim ,Julien Nagelsmann !
Au tungempata pochetinohuyu ndo atatufaa 100% wengine wazee wazee hatuwahitaji. Tunataka kocha wa kukaa miaka 20 mbele.
Yeah, kwa Sera ya kuibua vipaji na kutengeneza timu ya ushindani kwa gharama ndogo huyu pia anafaa sana.Au tungempata pochetino
Claudio ranieri
Kwa akili yake huyo anafikiri kwa ubahili aliokuwa anaufanya Wenger itakuwa ni kwa kila kocha, au labda anafikiri Arsenal ni masikini kisa tu Wenger alikuwa ananunua cheap players. [emoji23]Ndugu usilete hoja za mitaani arsenal ni timu kubwa uingereza na ulaya timu zinazo weza isumbua kungombania kocha labda Barcelona,real Madrid,psg,mancity na Chelsea tu.arsenal ipo top 10ya richest club's in the world .ktk premier league arsene ni mmoja ya makocha wanaolipwa zaidi
Huyu jamaa ni candidate mzuriTuchel. Aliyekuwa kocha wa BvB.
Yes . . . . . even for me this is the best fit, Arsenal inahitaji kocha wa kuwapa hamasa na morali mashabiki, wachezaji na hata menejimenti ya timu, wakimpata huyu italeta hamasa pia hata kwenye EPLDiego Simeone
Huyu hapanaHata Conte sio mbaya sana